Kuna watu wana bahati jamani, sijawai kuona mwanamke mkarimu kama huyo dada

Angalia tu usije mpenda mke wa jamaa..Ila ungetuhadithia kidgo mifano ya ukarimu wake tujifunze.
Kwanza dada akisalimia lazima akupe mkono na abonyee kidogo yaan imagine dem mkali zaid ya jokate anafanya hvyo..

Ongea yake tu si ile ya kwamba mgen kaja bas aachwe.yan anakuchangamkia had unashangaa...

Alitengeneza breakfast ya ajabu yan.yaan aliacha kaz zake akaenda tengeneza.na dada wa kaz yupo hapo...sasa unaambiwa ndugu wa jamaa wakijaga home pale inakua kama sherehe...imagine mama mkwe wake anampigia simu wanaongea as if ni mama yake mzaz...na mengne meng

Ana mjali mwana vbaya mno.mwana sasa hiv hana ajira. Ila dem anasimamia show zote. Na hajawai lalamika toka mwana kibarua kiote nyasi...

Dem mkarimu balaa..yaan una imagine dem mkal kama yule anakua hvyo huamin yan

Na hafany hayo kwangu tu ni kwa wagen wote wanaokuja pale
 
She is so sweet...ndoa yao naizidi kubarikiwa.
 
Kama na mambo mengine yasiyoonekana yuko hivihivi..basi huyu ni mke ambaye kila Mwanaume bora atataka kuwa naye
 
......dah...imeniuma sana..sio kuuma kwa ubaya yaani kuuma kwamba y had umr huu sijawahi meet mwanamke kama yule

Uzi tayar
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Kuna mwanangu mke wake ukarimu zero ila ana heshima na akili ya maisha hahah jamaa anaumia ila anashindwa kumwacha
 
Halafu huyo mke malaika ukimpata utamweka wapi wakati wewe mwenyewe ni shetani haaa haaa anza kwanza kubadilika wewe utampata wakufanana na wewe!
 
Huyu mshikaji yuko kama Mimi nami nina mke mkarimu mcheshi na mchapakazi na mwenye kujishimu nimezaa naye watoto wawili nikimwangalia simmalizi na moyo wangu unafurahi sana wakati wote ninapokuwa naye.
Hongera mkuu.
 
Tukiachana na hayo kitu Cha msingi na Cha kuzingatia wanaume wenzangu tusiache kutumia vumbi la Kongo hata tukizeeka
 
Back
Top Bottom