Kuna watu walishaamini eti wametokana na Sokwe

zagarinojo

JF-Expert Member
Jul 26, 2020
2,622
2,835
Duh!Ila kusoma Sana nako matatizo mpaka Leo eti kuna watu walisharidhia na kuamini eti wametokana na sokwe...

Eti mara binadamu tulipitia stages mbalimbali mpaka stage ya mwisho Homo Sapiens...

Mbona Sokwe wa Leo hawabadiliki kuwa binadamu...
Na imeshapita miaka mingi Sana..

Na Kama hivyo Sokwe wa kwanza ye alitokea wapi...
 
Hahahahaha

Sent from my SM-N910W8 using JamiiForums mobile app
 
Ni kweli tumetokana na sokwe,kwani huoni matendo Yetu yanafanana na sokwe,
Mkulanga watoto wamekutwa wanakaa chini hawana madawati,wakati miti imehaa tele mapolini,
Wagombea wa ubunge wa vyama vya upinzani wametekwa na kupigwa jimboni kwa waziri Mkuu,

Kama siyo usokwe ni nini?
 
Ni nadhalia ngumu sana. Sema haikudadavuliwa vizuri. Ila kuna uwezekano mkubwa binadam tuliboreshwa kutoka kwenye sokwe, na viumbe kutoka sayari zingine sisi tunaita mbinguni.
 
Nakubali tulikua sokwe kabisa,nakumbuka mimi na ndg zangu tulikua tunacheza cheza juu ya miti ya matunda then tukitoka hapo tunaenda kuiba mahindi/ndizi za wanakijiji.
 
Back
Top Bottom