usijali mkuu , kuwa na amani ndugu yangu hapana neno baya hapaMpaka mwenyew naogopa nachat na wewe,utakuja kunitabiria ban ya miaka 7 sasa hivi......hahahahaah! PhD
Kuna watu wamekula chumvi nyingi humu JFMwingine ni Tuntemeke Sanga yeye alikataa kuwa Waziri kwasababu aliona sio saizi yake, aliutaka Urais wa Nyerere!!
Ahsante Sana Mkuu! Ilikuwa kwa kipindi cha Rais yupi Mkuu?Marehemu Jaji Mkude alikataa uteuzi wa kuwa Jaji wa mahakama kuu zaidi ya mara mbili, na sababu kuu ilikuwa afya ya wazazi wake ilihitaji uangalizi wake wa karibu sana, asingeweza kutimiza majukumu makubwa ya nafasi ya ujaji katika hali ile.
Yeah kutumbuliwa pia na majukumu mengine yamenibana muda hub mkuuMkuu uliogopa kutumbuliwa baada ya kuteuliwa?
Hii ilikuwa kipindi cha Rais Ali Hassan Mwinyi.Ahsante Sana Mkuu! Ilikuwa kwa kipindi cha Rais yupi Mkuu?
Jenerali Ulimwengu toka DC Ilala hadi DC IrambaAliteuliwa cheo gani akakataa?? Mwaka gani?