Kuna watu walichonga majeneza yao wenyewe Serikali ya Awamu ya Tano

Swali la msingi sana waliloshindwa kujibu mumiani wale ni je, tulikua tunarekebisha katiba zetu za chama na nchi kwa ajili ya Dkt John Pombe Magufuli au Rais Dkt. John Pombe Magufuli
Wachumia tumbo tu akina alihassani mwinyi, Pinda, Ali Sumbawanga, LY wa dodoma na akina Msukuma njaa.
 
Mlishawai kujiuliza siku Mbowe akiondoka ghafla kwenda kwa aliemuumba hali itakuwaje Chadema?

Hivi hamuoni kuwa karibu 90% ya akili za wanachadema zinaongozwa na watu 3 yani Kigogo,Mbowe na Lissu ?

Leo JPM amekufa lakini hujaona vurugu yeyote kuanzia Nchi mpk Chama chake leo wana Mwenyekiti Mmama hakuna vurugu wala nini je ingetokea Chadema unadhani ingekuwa hvyo?

Mngeweza kumuachia Chama mwanamke? Baada ya Mbowe kufa ghafla? ikiwa hakuna hata anayejua baada ya Mbowe nani anafata lakini CCM inajulikana kuwa Rais wa nchi ndo mwenyekiti so kikatiba Samia ndo angekuwa Rais automatically anakuwa mwenyekiti .

Leo unasema kusifu na kuabudu hiyo ni Tabia ya watanzania kujifedheesha kwa ajili ya vyeo na fedha leo waimba mapambio wapo kuanzia ngazi ya Familia mpk Taifa

Hv unajua 99% ya Chanachagadema tawi la mitandaoni wanamsifu na kumuabudu Mbowe?
Vieiti Toyota
 
CCM wanatakiwa wajifunze kwa hili la Mwendazake, na waache kiburi cha kukwamisha upatikanaji wa katiba mpya isiyopendelea chama chochote cha siasa.

Kwani wakiendelea na kiburi chao wakae wakijua upinzani wanaweza kuingia madarakani kwa katiba hii afu wao wakajikuta ni wapinzani na hapo ndipo watajua ni kwanini samaki Hulia pasipo kutoa sauti.

Chini ya jua hakuna lisilowezekana hivyo ukipata nafasi itumie kutengeneza mazingira ya wewe kuishi siku ukiwa huna hiyo nafasi
wamuulize Lowasa na Membe, wameshaonjo joto la katiba ya hovyo
 
Back
Top Bottom