kuna watu wa miili moto na miili baridi kweli?r

ILAN RAMON

JF-Expert Member
Sep 10, 2013
8,006
2,906
Wakuu habari za kutwa kunako mahangaikoni, natumai tupo swalama bin salmin.
.Bila kuchelewa naomba niulize hili swali kama biologists anisaidie or whoever mwenye ufahaham
.Hivi ni kweli miili ya watu inatofautiana joto?binafsi nimekutana na mabebez kama wa3 tofauti wote wanashangaa et mwili wangu una joto la ajab......kulala tu tu anasema tu nahisi kuungua una nini wewe mbona una joto?..wakuu is there anything strange ?na haijatokea kwa mtu mmoja am concernd now why always me??? Kuna mtu with the same experience ? Pls this has nothing to do with having sex
Asanteni
Sorry for poor arrangement nasinzia,kimtindo
 
Jotoridi la Binadamu ni 37°C na jirani zake
But wengine wanasema Ukiwa Mweusi sana unakuwa na joto kubwa labda na ww uko huko mkuu!
 
Wakuu habari za kutwa kunako mahangaikoni, natumai tupo swalama bin salmin.
.Bila kuchelewa naomba niulize hili swali kama biologists anisaidie or whoever mwenye ufahaham
.Hivi ni kweli miili ya watu inatofautiana joto?binafsi nimekutana na mabebez kama wa3 tofauti wote wanashangaa et mwili wangu una joto la ajab......kulala tu tu anasema tu nahisi kuungua una nini wewe mbona una joto?..wakuu is there anything strange ?na haijatokea kwa mtu mmoja am concernd now why always me??? Kuna mtu with the same experience ? Pls this has nothing to do with having sex
Asanteni
Sorry for poor arrangement nasinzia,kimtindo

Lakini range ya joto la mwili ni kati ya 36.5 na 37 degrees centigrade. Labda ulikuwa umekula pilipili.
 
Kimaumbile wapo watu wenye asili ya joto na wapo wenye asli ya baridi.Na wapo ambao ni neutral.Maziwa asli yake ni baridi akinywa MTU wa asili ya baridi lazima yamsumbue na atajisikia vibaya na ataapa kutokunywa maziwa.Asali asili yake ni joto akila MTU wa asili ya joto lazima atajisikia hovyo anaweza Kuala kutokula asali milele.Kwa hiyo MTU wa joto ale vya asili ya baridi and vice versa.
 
E="Ngosha255, post: 21663111, member: 133878"]Jotoridi la Binadamu ni 37°C na jirani zake
But wengine wanasema Ukiwa Mweusi sana unakuwa na joto kubwa labda na ww uko huko mkuu![/QUOTE]

Mkuu.mimi mweupe kabisa

Mkuu
 
"Mwanamayu, post: 21663283, member: 23457"]Lakini range ya joto la mwili ni kati ya 36.5 na 37 degrees centigrade. Labda ulikuwa umekula pilipili.[/QUOTE]

Mkuu pilipili is part of my diet nakula sio mchezo kasoro break fast
Category ya mhindi
 
Mi pia najiulizaga hilo swal. Cz mwili wangu mi ni wa baridi, adi najiogopa yan. Shingo tu ndo yamoto. Na nikiwa period ndo mwil unakua wamoto kidogo. Asa sijui ni tatizo jmn?

Nimecheka hahahah
 
"idrey, post: 21663593, member: 275506"]Sasa mwanamke akiwa Wa baridi si nitatizo?[/QUOTE]

Labda isiwe kule
 
Joto la wapi wanasifia ndani au nje?!...mbona mnatupa mfadhaiko jamani wengine tukisikia mtu ana joto tunawaza mbali
 
Ni kweli jotoridi la mwili hutofautiana kati ya mtu na mtu na sababu zipo nyingi sana ikiwemo aina ya vyakula na hali ya hewa ya eneo husika
Kuna tofauti kubwa ya joto kati ya mtu anayekunywa supu ya samaki kila siku na yule anayekunywa ya nyama kila siku...samaki ana madini joto kwa wingi sana hasa wale wa maji chumvi.
 
Kimaumbile wapo watu wenye asili ya joto na wapo wenye asli ya baridi.Na wapo ambao ni neutral.Maziwa asli yake ni baridi akinywa MTU wa asili ya baridi lazima yamsumbue na atajisikia vibaya na ataapa kutokunywa maziwa.Asali asili yake ni joto akila MTU wa asili ya joto lazima atajisikia hovyo anaweza Kuala kutokula asali milele.Kwa hiyo MTU wa joto ale vya asili ya baridi and vice versa.
Wewe ni daktari mkuu?maana ni kweli maziwa napemda sana na asali inanisumbua nikila mimi mwili wangu pia watu husema una joto si kawaida.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom