kuna watu wa miili moto na miili baridi kweli?r

Naona ni maumbile maana kisayansi mammal's wote ni damu moto amphibians tuu ndo damu baridi,,,ila ukija kwenye miili ni maumbile na mazingira pia nadhani kwamfano kipindi nipo nyumbani(mkoa tofauti na nlio sasa) familia ilikuwa inanishangaa saa zote vipindi vyote vya mwaka me niwa baridi alafu mama na Dada hawa walikuwa na joto sio la nchi hii,,,ila now baada ya kuhama mkoa, sijui kukua ( maana na miaka imesogea) nimekuwa wamoto pia kama mama na Dada hata nikiwashika hawashtuki ,,kipindi cha nyuma nkimshika mtu lazima ashtuke kwa ubaridi nliokuwa nao. Diet sina uhakika maana naona ulaji wangu hujabadilika sana
 
hakuna ukweli wowote....binadamu...wote tunajoto...linaloelekea...kufanana(core temperature)....ila. Joto la ngozi linaweza kubadilika kuendana na joto la mazingira.......kwamfano..kukiwa na baridi...damu inapita chi zaid kwenye ngozi...hivo kuifanya ngozi yako iwe ya baridi....lakini ukiwa na magonjwa ya mfumo wa damu....damu inaweza isifike kabisa ...au ...ikafika kwa kiwango kidogo katika baadhi ya sehemu za mwili hivyo kufanya hayo maeneo kuwa baridi......
 
Joto la wapi wanasifia ndani au nje?!...mbona mnatupa mfadhaiko jamani wengine tukisikia mtu ana joto tunawaza mbali
Tahadhari tu kabla hujazama PM, huyo alosema anajoto ni mwanaume, usijichanganye mkuu nahofia usalama wako....haaaah haaaah....just a joke never take it serious
 
Ni kweli kuna binti mmoja wa kijaluo nimewahi kuwa nae aise ni wa baridi lakini yeye anajihisi yuko sawa
 
"thesound, post: 21670469, member: 348240"]kwaio unacheka tatizo lngu jmn[/QUOTE]


Sijui kama ni tatizo au asili tu mkuu
 
Wewe ni daktari mkuu?maana ni kweli maziwa napemda sana na asali inanisumbua nikila mimi mwili wangu pia watu husema una joto si kawaida.

Bob na mimi asali inanisumbua najisikia ovyo sana nikilamba japo napenda but siwezi kutumia naona tuna shida zinafanana
 
="sisame, post: 21673385, member: 396305"]Tahadhari tu kabla hujazama PM, huyo alosema anajoto ni mwanaume, usijichanganye mkuu nahofia usalama wako....haaaah haaaah....just a joke never take it serious[/QUOTE]

Mkuu wabongo naonaa wana waza uvungu kusikia joto anawaza mpasuko mimi mwanaume wq shoka naona hata kakuangalia mara mbili


Mkuu
 
Back
Top Bottom