KakaKiiza
JF-Expert Member
- Feb 16, 2010
- 11,680
- 8,868
Watu hao wanamshahuri Mh Rais Magufuli vibaya hasa katika kipindi cha mgogoro wa Zanzibar walimshauri asiingilie mgogoro huo huku wakijua kuwa wahisani watajitoa hili waone serikali anayoiongoza inakwama na hili waliifanya makusudi kabisa wakijua itakuwa hivyo!Kwakuwa walijua wafadhili wakijitoa serikali haitakuwa na pesa hivyo serikali itayumba na wao watambeza Mh magufuli sisi tulisema kiko wapi sasa!hapo watakuwa wanafurahia mioyoni kuona serikali inayumbishwa na wahisani.