Kuna watu makatili kweli kweli, achoma paka moto akiwa hai

Ni njaa tu mkuu,miaka fulani nikiwa kijana nilifuga paka.
Akawa mkubwa haswa na kanenepa sana kwa ajili ya lishe.
Yule paka aligeuka sana badae ikawa kero.
Kwanza hakai ndani, ye ni kupigwa miti tu nje huko.
Ikawa kero.
Siku kafungua friji kala samaki woote.
(Sijui alihonga)
Hapo sina plan ingine ya msosi.
E bana siku hiyo nikapanga mauaji.
Karudi jioni hivi zile hasira nimemkuta jikoni nikafunga mlango nikarudi na gongo.
Kama la kuchezea golf
Hiyo mechi humo ndani
Ilikua balaa.
Nilimkosakosa na ye alinikosa kunitoboa macho mpaka nikafungua mlango mwenyewe akakimbia kutoka hakurudi tena.
Sijawahi kupenda paka tena
Wewe u qfuga paka jike ukitegemea nini?
 
Nilishaona kinondoni mtaa wa togo karibu na transformer la TANESCO
Kuna paka shule alikuwa anakula nyama mpaka iliyoinjikwa kwenye jiko
Yani inaweza kuwa inachemka jikoni na anapita nayo
Majamaa wakaja na mbwa watatu wakamlia timing
Wale mbwa walipigana na wawili wakafa pale pale
Yule mwenye mbwa wake akakimbia nae na watu wakampiga mawe yule paka
Yani mpaka saa kumi na mbili jioni hawezi hata tembea lakin alikuw anapumua

Kilichonishangaza yule paka alivimba akawa mkubwa kama unavyosema chui
Watu walimpiga mawe lakin tumbo zilikuwa zinapanda na kushuka (bado anapumua)
Paka ana roho nyingi sana
Hao mbwa ni wa darisalama. Mbwa wa mkoani hauwawi na mpaka
 
Enzi za utoto paka alitafuna kifaranga mbele yangu. Nilisitisha zoezi la kula chakula nikaanza kushughulika nae, tulipelekeshana takriban masaa mawili baadae nikaibuka kidedea, baada ya marungu kadhaa ya kichwa, nilienda kumpiga moto wa mkaa ulioteketeza hadi mifupa.

Hua nikikumbuka hilo tukio naingiwa huruma sana. Ni chembechembe za roho ya ukatili.
 
Paka ni km binadamu mkuu wana roho ngumu sana na kila kitu wanajua.
X wangu alikua na paka wawili mama na mwanae wa kiume.
Ajabu nikiwepo pale mama yuko benet mda wote ataniganda hana vurugu.
Huyu mtoto sasa na lilikua limevimba kweli paka paka haswa.
Naingia nikale mbususu litafungua mlango linajilaza katikati.
Kumtoa hapo mtakesha.
Nikana isiwe tabu nikajikata.
Hahahah hapo alikuwa anataka apige chabo
Ulimbania bure asipige chabo
 
Enzi za utoto paka alitafuna kifaranga mbele yangu. Nilisitisha zoezi la kula chakula nikaanza kushughulika nae, tulipelekeshana takriban masaa mawili baadae nikaibuka kidedea, baada ya marungu kadhaa ya kichwa, nilienda kumpiga moto wa mkaa ulioteketeza hasi mifupa.

Hua nikikumbuka hilo tukio naingiwa huruma sana. Ni chembechembe za roho ya ukatili.
Paka mda mwingine ana tabia mbovu kama hujamtrain, anaweza tu ukiwa umetenga chakula akapitisha mkia ili ukisuse, ale. Anaweza hata kunya kwenye unga wako wa ugali kana kwamba amekosa sehemu ya kumaliza haja zake. Paka ni mnyama mwenye vitimbwi vingi mno

Ila yeyote anayepambana na paka atakuwa anajiamini sana. Kwa sifa tunazosikia kitaa hafai
 
Paka ni km binadamu mkuu wana roho ngumu sana na kila kitu wanajua.
X wangu alikua na paka wawili mama na mwanae wa kiume.
Ajabu nikiwepo pale mama yuko benet mda wote ataniganda hana vurugu.
Huyu mtoto sasa na lilikua limevimba kweli paka paka haswa.
Naingia nikale mbususu litafungua mlango linajilaza katikati.
Kumtoa hapo mtakesha.
Nikana isiwe tabu nikajikata.
Hapa umetupiga mkuu
 
Ni njaa tu mkuu,miaka fulani nikiwa kijana nilifuga paka.
Akawa mkubwa haswa na kanenepa sana kwa ajili ya lishe.
Yule paka aligeuka sana badae ikawa kero.
Kwanza hakai ndani, ye ni kupigwa miti tu nje huko.
Ikawa kero.
Siku kafungua friji kala samaki woote.
(Sijui alihonga)
Hapo sina plan ingine ya msosi.
E bana siku hiyo nikapanga mauaji.
Karudi jioni hivi zile hasira nimemkuta jikoni nikafunga mlango nikarudi na gongo.
Kama la kuchezea golf
Hiyo mechi humo ndani
Ilikua balaa.
Nilimkosakosa na ye alinikosa kunitoboa macho mpaka nikafungua mlango mwenyewe akakimbia kutoka hakurudi tena.
Sijawahi kupenda paka tena
Kumfungia paka ili umpige... Ulikuwa unatafuta mauti. Shukuru zako zilikuwa zipo
 
Nimefuga kuku sana wa kienyeji mbegu za hapa hapa nchini, mbegu ya malawi (wale weusi tiiii) na mbegu ya Kuroiler. Kwa kweli inauma sana pale kuku anapokufa mda mwingine unakosa hadi raha. Kuna kuku kishingo kila nikiingia kwenye malazi ya kuku huwa alikuwa ananifata nyuma nyuma nikstokea kumpenda sana yule kuku. Siku mojan nimedamka mapema kwenda kulisha kuku nikakuta kuku wangu kishingo kadanja nilikosa raha siku nzima. Baba yangu mdogo mfugaji nae alikuja nisabahi home ile kunikuta na simanzi akanitusi acha ufala wewe akisema “mimi nafuga ngombe na mbuzi na wanakufa, wewe kafa kuku unatia huruma, angekufa ngombe wa million 3 si ungekufa??” hahah

Nimeandika haya nikimfikiria huyu mchaga ana roho ya namna gani kuchoma paka moto. Mie kama kuna paka anakula mifugo ningemuwekea sumu kwenye samaki. Lakini huyu jamaa ana roho ya namna gani. Mimi ni mchaga wa mkuu Rombo lakini aisee kuna wachaga wana roho ngumu sana. Nawataadharisha wale wenye wenza wa kichaga chungeni sana kuweni makini mnooo...

View attachment 2004793

Serikali imchukulie hatua huyu mtu, leo kamchoma paka kesho atamchoma housegirl ama mkewe
 
Ni utaahira, amemsababishia mateso makali sana
Kwasababu hamjawahi kuwa na touch na mfugo mnaofuga ni rahisi sana kumlaumu mangi. Angalia hapo pembeni kuna kuku wake hana kifaranga hata kimoja halafu paka mwenyewe ki muonekano tu ni yale mapaka pori yasiyo na mwenyewe.
Paka anaedokoa mboga anavumilika maana ni njaa lakini paka anaegeuza banda lako la vifaranga ndio sehemu yake ya mwindo huyo hafai.
Ukute Manginkajaribu mbinu zote, kaimarisha banda lake, kamtega kwa sumu zote zimefeli mwisho kamnasa kwa mtego afanyeje? Njia rahisi ya kumuua ilikua ni hiyo ya kumpelekea moto tu au nyinyi mnadhani ndani ya hiyo cage angemuuaje?


Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom