Kuna watu huwezi kuwadhulumu. Mfanyakazi usipomjali ataanza kujijali yeye mwenyewe

Kiboko ya Jiwe

JF-Expert Member
Apr 7, 2020
12,646
35,979
Katika utumishi wangu wa umma wa miaka 5 na miezi 4 ni miaka 2 tu ndio niliishi kwa ufukara. 2016 na 207 niliishi maisha magumu sana. mpaka ilifikia nyumba niliyopanga kutoamini kuwa mimi ni mfanyakazi wa serikali. Si unajua jamii inavyowatukuza watumishi wa serikali , nadhani wengi hawajui kuwa kuna private offices zinalipa kama Ulaya kumbe ziko bongo.

Mungu si Athumani 2017 mwishoni milango ikafunguka. Naomba Mungu hii milango iendelee kuwa wazi. Watumishi wa umma msife moyo, hapo mlipo milango itawafungukia tu na mtaishi vizuri hata kama mtakosa nyongeza ya mshahara na madaraja.

Ikifunguka milango ingia haraka usianze kushangaashangaa. Jihurumie.
 
Milango ya wizi au sio? Nyie ndio mnaopiga nyoka kwenye bomba la TAZAMA bila shaka...Tunawasaka na tutawatia mbaroni soon😎
 
Katika utumishi wangu wa umma wa miaka 5 na miezi 4 ni miaka 2 tu ndio niliishi kwa ufukara. 2016 na 207 niliishi maisha magumu sana. mpaka ilifikia nyumba niliyopanga kutoamini kuwa mimi ni mfanyakazi wa serikali. Si unajua jamii inavyowatukuza watumishi wa serikali , nadhani wengi hawajui kuwa kuna private offices zinalipa kama Ulaya kumbe ziko bongo.

Mungu si Athumani 2017 mwishoni milango ikafunguka. Naomba Mungu hii milango iendelee kuwa wazi. Watumishi wa umma msife moyo, hapo mlipo milango itawafungukia tu na mtaishi vizuri hata kama mtakosa nyongeza ya mshahara na madaraja.

Ikifunguka milango ingia haraka usianze kushangaashangaa. Jihurumie.
ikifunga tena hiyo milango utakufa kwa kukosa hewa,dawa yake ibomoe kabisa hiyo milango
 
Back
Top Bottom