Mung Chris
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 3,367
- 3,778
Miaka yote tumezoea ili kuchuma tunda lazima upande juu ya mti au utumie mti mrefu ay kurusha mawe sasa yeye bado yupo huko haijalishi ni mfupi kiasi ganiAkili zikiwa nyingi kuliko uwezo.

Mwenzake huyu hapa. Naona watakuwa ndugu kabisa View attachment 1248664