walitola
JF-Expert Member
- Nov 28, 2014
- 4,796
- 5,520
Dah nimejikuta nasoma uzi wako alafu nashikwa na hasira sana, hivi wanaume wa sasa tunakwama wapi unawezaje kumlea uyo mdada kitoto ivyo yani unamwachia hela alafu anashindwa kupika dah sijui niongee nini unielewe mtie hata mibanzi miwili alafu akili imkae sawaYaani mtu, anadai hawezi kutumia jiko kupika wali, eti ilo jiko haliwezi, jiko mmenunua zaidi ya laki 7, linaoza, unamwachia, elfu 10K, ya kula ukitoka kuangaika jioni unamwambia unakula nini, kununue ata chips, anasema amechoka hatoki nje.
Basi unamwambia kama umebakiza ata elfu 1, leta nimpgie simu boda akuletee chakula, mi ntakununulia alafu nauli mpe boda ata buku, anakwambia hana ata mia, na apo ulimwachia elfu 10, unakuta wewe unakula yule mdudu na yeye hali, basi unanunua mdudu wako unampa elfu 3, kanunue viazi anakwambia mimi nje sitoki nmechoka, na apo kashinda amekaa tu.
Basi unaona jau kula huku mwenzio kakakaa tu, unaamua kwenda kununua, asbui nmemwambia kuna mdogo wangu anakuja kulala, na nmechukia bora asirudi kabisa.
Eti demu ambae hana elimu, ana heshima weeeee hujawakuta.