Kuna wanaume wenzetu Wana roho ngumu kinoma

Hahaa huyo jamaa atakuwa ni mimi..
Halafu mbaya zaidi unakuta hujawahi kula papuchi ya huyo manzi...halafu jamaa nakwambia anataka kupiga fasta asepe
 
Jana nimekuta meseji ya mapenzi kwenye simu ya mpenzi wangu,nikachukua namba hiyo inayomtumia meseji nikampigia jamaa nikamwambia wewe Ni Nani mbona una mahusiano na mpenzi wangu.jamaa akanijibu "oya me hapo napiga tu napita nakuachia mwanamke wako".moyo uliuma Sana nilitamani kuwe na kisu karibu nimchome mtu au nijichome hata mimi.nilidhani jamaa angenipa ushirikiano tujadili hili swala jamaa ndo kanimaliza kabisa.ebu fikiria demu nampenda Sana akidai Ana njaa fasta nampelekea chips namtumia hela halafu anaenda kugawa mzigo kwa mwingine.
Karib na hao ndio wanawake. Unaweza kuwa unampa kila kitu lakin sasa anatoa uchi kwa mtu wa ovyo kama huyo.
Kwa vile umeshajua.. kausha kwa asasa muandalie mazingira. Mwite. Wambie ulichokiona. Majib yale yatakupa uhakika umwache au lah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jana nimekuta meseji ya mapenzi kwenye simu ya mpenzi wangu,nikachukua namba hiyo inayomtumia meseji nikampigia jamaa nikamwambia wewe Ni Nani mbona una mahusiano na mpenzi wangu.jamaa akanijibu "oya me hapo napiga tu napita nakuachia mwanamke wako".moyo uliuma Sana nilitamani kuwe na kisu karibu nimchome mtu au nijichome hata mimi.nilidhani jamaa angenipa ushirikiano tujadili hili swala jamaa ndo kanimaliza kabisa.ebu fikiria demu nampenda Sana akidai Ana njaa fasta nampelekea chips namtumia hela halafu anaenda kugawa mzigo kwa mwingine.
Go home, get some sleep. Tomorrow is a new day. Msichana kama hajaacha issue za kupitiwa atakusumbua bure. Katafute ambaye keshasema, 'Hakuna jipya chini ya jua' mtulizane.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom