Kuna wanaume wanapitia 'mitihani' sana maishani. Ndo maana wanachelewa kuoa

Mwambie huyo jamaa yako aje kwa tuliotendwa tumdekeze naamini atatulia maana cha moto kaishakipata

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Hatarii, ila wanawake hatari sana aise...jifanye mbabe, una maguvu na nini, wao piga lao moja tu kama hili! Acha kabisa, viumbe hatari, waamini kwa wakati wako ila hawaaminiki kabisa, ukioa uwe tayari kuvumilia kama haya..Ama sivyo utaishia gerezani..
 
Kwanza DNA Ina utaratibu wake wa kupima, haipimwi kimya kimya na kienyeji.

Pili miaka ya zamani upimaji wa DNA tulikuwa tunategemea Nairobi

Tatu hii cha mtoto kabisa hujasikia mwingine kamkodishie mahawara wamuue mchumba wake huko Mwanza?
 
Aisee pole yake, yanawayokea wengine, nasisi tunayo yetu. likishakutokea unakubali hali, unasonga na maisha yako.
Kweli shemeji.Duniani Kuna mambo

Sent from my Solar 5 using JamiiForums mobile app
 
Huyo ndo muhenga cha mtu uliwa na mtu na hakuna chako peke yako

Sent from my TECNO L9 using JamiiForums mobile app
Aiseee! Wanaume Kumbe hampendani Na ninyi

Sent from my Solar 5 using JamiiForums mobile app
 
Ningemove on yeye si wakwanza na wamwisho kuumizwa watu tushafanyiwa zaidi ya hayo

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Kweli.Wengine wanatunza kinyongo.Haya nawe tusimulie yaliyokupata tujifunze

Sent from my Solar 5 using JamiiForums mobile app
 
Hatarii, ila wanawake hatari sana aise...jifanye mbabe, una maguvu na nini, wao piga lao moja tu kama hili! Acha kabisa, viumbe hatari, waamini kwa wakati wako ila hawaaminiki kabisa, ukioa uwe tayari kuvumilia kama haya..Ama sivyo utaishia gerezani..
Umeongea kwa huzuni sana Ndugu.What happened?

Sent from my Solar 5 using JamiiForums mobile app
 
Kwanza DNA Ina utaratibu wake wa kupima, haipimwi kimya kimya na kienyeji.

Pili miaka ya zamani upimaji wa DNA tulikuwa tunategemea Nairobi

Tatu hii cha mtoto kabisa hujasikia mwingine kamkodishie mahawara wamuue mchumba wake huko Mwanza?
Jamaa Ndo field yake.Anahusika huko.Hivi TZ ukiwa Na Pesa u nashindwa nini.Labda Roho ya MTU tu

Sent from my Solar 5 using JamiiForums mobile app
 
Hii ni story ya kutunga tu.mambo ya DNA tanzania yameanza kipindi hata mpesa ipo hewani!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom