Heloo
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 4,391
- 3,402
- Thread starter
- #41
Miezi 5 tu.Au imetokea 5 yrs.Alienda kikaziaaah
mi kuna umri nisha jiwekea ukifika huo sisomi hata kama ntakuwa na miliki cheti cha Ras Simba tu.
sisi wabongo hatujuagi kupangilia mambo, sasa unajiuliza huyo bwana alipotafuta mchumba alikuwa hajui kama siku moja atakuja kusoma na atakaa nje muda mrefu? alidhani mwenzie ni roboti hadi akae hiv hiv tuu?
yaani nimejifunza kitu kikuvwa sana kwenye hii stori
Sent from my Solar 5 using JamiiForums mobile app