MAHANJU
JF-Expert Member
- Aug 26, 2014
- 5,244
- 7,970
Mara kadhaa nimekua nikiwasikia baadhi ya wanaccm wakijinasibu kua eti" kwa sababu Magufuli amekubalika kwa wananchi basi majimbo yote na chaguzi zingine ushindi ni wa ccm 2020" Hizi ni ndoto za Mchana kweupe.
Wanafikiri wapinzani nao watakua tayari kuachia majimbo yao kiurshisi tu! Wanafikiri wananchi ni wajinga watachagua ili mradi tu! Hawajui kua walikwishakataliwa na wananchi!
Niwaulize kwani wakati wa kampeni Magufuli aliwanadi wangapi? Na ni kwanini walishindwa?Hali inaweza kugeuka vibaya hata zaidi ya October 25,2015.wapinzani nao wana akili wanajipanga upya mahali walipokosea wanaweka sawa.
Ikumbukwe kua kati wabunge 18 waliohojiwa TAKUKURU kwa kuomba milungula wote ni wa CCM, Sasa wanini hawa kuwarudisha tena bungeni? Kama wapinzani sio wazuri mbona wako hawakuitwa?