MTU ALIYE NYIKANI
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 345
- 454
Hivi wadau kuna watu huwa wanachekaga wakitazama hii show. Maana mimi siielewagi kabisa.
Aliniboa sana siku hiyo. Jamaa aliisha ishiwa.Huyu alikuwa mwalimu wa shule ya msingi, kwa maana ya karibu alifeli form four, sasa vuta picha.
Alialikwa Kenya kwenye Church hill show, yaani nilizima kabisa tv maana aliharibu mno
sana tu, mimi nampenda kwakuwa yupo smart kichwani, havai rough wala manguo ya kikeHivi wadau kuna watu huwa wanachekaga wakitazama hii show. Maana mimi siielewagi kabisa.View attachment 1094436
hahahaHuyu mtu hajawahi kunichekesha
Hata kama hatuchekeshi lakini ukweli usemwe alikua ni Mwl Wa Secondary sio shule ya msingi.Huyu alikuwa mwalimu wa shule ya msingi, kwa maana ya karibu alifeli form four, sasa vuta picha.
Alialikwa Kenya kwenye Church hill show, yaani nilizima kabisa tv maana aliharibu mno
Tupo wengi yeye na idriss sultanHuyu mtu hajawahi kunichekesha
Huyu mtu hajawahi kunichekesha
Halafu asilimia kubwa nyie wadada ndo mnawalea vibaya hawa jamaaaTupo wengi yeye na idriss sultan
Tunawaleaje etiHalafu asilimia kubwa nyie wadada ndo mnawalea vibaya hawa jamaaa