Kuna wanaochekeshwa na Pilipili comedy show?

MTU ALIYE NYIKANI

JF-Expert Member
Mar 12, 2014
345
454
Hivi wadau kuna watu huwa wanachekaga wakitazama hii show. Maana mimi siielewagi kabisa.
1557592572780.jpeg
 
Huyu alikuwa mwalimu wa shule ya msingi, kwa maana ya karibu alifeli form four, sasa vuta picha.

Alialikwa Kenya kwenye Church hill show, yaani nilizima kabisa tv maana aliharibu mno
Aliniboa sana siku hiyo. Jamaa aliisha ishiwa.
 
Huyu alikuwa mwalimu wa shule ya msingi, kwa maana ya karibu alifeli form four, sasa vuta picha.

Alialikwa Kenya kwenye Church hill show, yaani nilizima kabisa tv maana aliharibu mno
Hata kama hatuchekeshi lakini ukweli usemwe alikua ni Mwl Wa Secondary sio shule ya msingi.
Halafu kikubwa zaidi sisi walimu Wa shule ya msingi sio kama tulifeli hapana Noo ni marks tu hazikutosha ndo maana tukapewa majukumu mengine.
Ahsante.
 
Hivi tanzania kuna wachekeshaji? Mimi huwa nakikubali kichwa kimoja cha USA George Carlin (RIP) huyu jamaa alikuwa anachekesha huku anaichana serikali ya USA siyo wakina Bambo hamna kitu wanajua zaidi ya kuvaa rafu rafu tu
 
hata mimi sichekeshwi na huyu jamaa...kuna kale kajamaa kengine ka MBOTO sijui nako hamna kitu..
 
Kuna jamaa anaitwa DEOGRATIUS yupo kwenye "Cheka tu show" jamaa anajua sana,comedy with contet
 
Mimi nikiwaambia kuwa Tanzania tuna waropokaji na si wachekeshaji mnapinga.
Jana nilitazama CHEKA TU eatv mpaka wife akawa anawashangaa wsnaocheka kwa komedi za kipumbavu.
Ila baadhi ya wanawake wanamwelewa sana huyu mtu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom