Kuna wanao kumbuka nappy pins

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,597
215,272
1641807033205.png

Usiombe mvua inyeshe na una nappy 5, wakati huo omo haipatikani sabuni olikua Foma kutoka Tanga. Nappy hazikuwa rahisi kwani zilipatikana kwa matendo kutoka Zambia, Kenya, Congo na walioishi mipakani ndiyo walituletea. Ukisafiri Dar Bukoba unafunga nappy chafu utafua ukifika.

Hizi zilihifadhiwa kwenye bakuli pembeni ya kitanda. Watoto wa .com mmekuta pampers, tume safiri safari ndefu.
 
Zilikuea dili kijijini zilitumika kutolea funza miguuni, umenikumbusha mbali habari ya kuanikia nappy sikumbuki, mama alitumia kanga zake kuukuu kuchana vipande. Shukran za pekee ziende kwa wamama wote popote mlipo.
Hivi vipande vya khanga vilikua ni kwa matumizi ya nyumbani, lazima uwe na nappy 3-4 kwa clinic na kanisani. Baada ya nappy kuna chupi ya mpira ya kuzuia mikojo.
 
Back
Top Bottom