Kuna wanajeshi Watanzania Iraq?

Zion Train

JF-Expert Member
Jun 5, 2008
501
78
WanaJF hii nimeiona kwa Mjengwa nikaona bora tushare,siyo wote mnaokwenda huko, kama siyo mahali pake i am sorry ihamishwe.hivi ni nguo tu imekosewa badala ya bendera ya iraq wameweka ya kwetu ama kuna chochote ambacho sikijui?mahelezo yaliyokuwepo kwenye hiyo picha.

A U.S. soldier (L) from the Second Stryker Cavalry Regiment helps a wounded Iraqi soldier at the site where an explosive device went of inside a house during security operations in Diyala province August 8, 2008.
 
Attachments

  • bendera.jpg
    bendera.jpg
    18.6 KB · Views: 206
Du hapa ipo kazi! lakini kwa kawaida picha kama hii ilivyo inaonekana haijachezewa, halafu huyu mzaramo mwenzetu anaonesha kaumia hivi!
 
Bush alipokuja tanzania alikuja kufanya nini?........sidhani kama atakuwa mwanajeshi wa marekani aweke beji ya bendera ya tanzani.Haiwezekani.Membe tunaomba ufafanuzi
 
Labda JK anatafuta hela za kuwalipa mishahara wafanyakazi wa serikali kwa siri!!!!!
 
Membeeeeee!Maelezo Tafadhali!Acheni kutufanya mambumbu ama ndiyo sababu ya safari za kila leo za Marekani na misaada isiyoeleweka?
Kama Tutafahamu tulidanganywa kwa njia yoyote ile ni lazima Rais avuinje Barazi lake La Mawaziri na yeye mwenyewe a step down aitishe uchaguzi huru na wa haki maana this time they went too far na iwapo tuu tutagundua Tanzania tupo vitani tunawasaidia Wamarekani!
Haileti sense kwa Mwanajeshi ambaye siyo Mtanzania kuvaa bendera yetu!
Am vexed beyond control!
 
Longo Live the Internet...Mhh Nashindwa kuamini kama picha ni real au feki au kama kweli Tanzania imepeleka majeshi kisirisiri; au ndio maana Bush alipokuja Tanzania akatoa zile 800 Mil USD alikuwa na lake jambo??!!!

Kweli ni bendera yetu hiyo, au inafanana na bendera ya one of US army batalian/corp/regiment etc..nashindwa kuamini...!! Au ni Mtanzania aliyejiunga jeshi la Marekani lakini wao wana utaratibu wa kuruhusu wasio wamarekani kuvaa bendera za nchi yao...sijui, najiuliza maswali mengi bila majibu. UK ukijiunga na Jeshi la UK hata kama wewe sio British Citizen unavaa bendera ya UK.

Mhe Zitto tafadhali fanya hima kutuulizia haya maswali ya msingi bungeni.

Hii ni muhimu tuifikishe kwenye International Media ili nao watusaidie kuuliza wakina Bush haya maswali.
 
Kaazi kweli kweli....Naona walikubaliana na masharti kwasababu ya kugubikwa na rushwa!
Wakitaka kukata mzizi wa fitina wauweke ukweli wazi na wananchi watawasikiliza!
La sivyo ni balaa kama kina Saakashvili huko Georgia.
Kwanini wananchi hawakuambiwa ukweli?
 
Folks,
Let us not jump to conclusions. Unless wamemtaja kuwa ni Mtanzania nijuavyo mimi Mu7
alipeleka wanajeshi wake kule kuungana na coalition of the willing.
 
Folks,
Let us not jump to conclusions. Unless wamemtaja kuwa ni Mtanzania nijuavyo mimi Mu7
alipeleka wanajeshi wake kule kuungana na coalition of the willing.

Jasusi

Badala ya kusema tusiweke conclusions za kuwa huyo ni Mtazania. Hebu tupe japo idea zako kidogo kwa nini huyu jamaa amevaa bendera yetu???

Wengi hapa tupo open minded, ila tuna hamu sana ya kupata vielelezo vyenye mashiko.

Maandishi yana nafasi ndogo sana kulinganisha na picha.

Pamoja na kuwa hiyo Bendera yenyewe ipo juu chini, hili suala linataka ufafanuzi wa kina. Kama huyu ni mtanzania, serikali itoe ufafanuzi kwa nini watanzania wamepelekwa kupigana bila taarifa rasmi kutolewa?
 
Membeeeeee!Maelezo Tafadhali!Acheni kutufanya mambumbu ama ndiyo sababu ya safari za kila leo za Marekani na misaada isiyoeleweka?
Kama Tutafahamu tulidanganywa kwa njia yoyote ile ni lazima Rais avuinje Barazi lake La Mawaziri na yeye mwenyewe a step down aitishe uchaguzi huru na wa haki maana this time they went too far na iwapo tuu tutagundua Tanzania tupo vitani tunawasaidia Wamarekani!
Haileti sense kwa Mwanajeshi ambaye siyo Mtanzania kuvaa bendera yetu!
Am vexed beyond control!

You are vexed beyond control! Kipigo kweli.Nani alimtuma huko si alipenda pesa na labda pesa zenyewe wamekula watu.Kama nijuavyo huko mikataba ya kufanya kazi huko huwekwa wazi kabisa kuwa in very risk area.Mchicha wake ndio unawavuta wengi
 
Kama ni hivi basi Watanzania tutashindwa kuwa wazalendo maana kwa security reasons Waziri Mkuchika ametukataza hata kuutumia wimbo wa taifa katika simu lakini bila shaka wamekubaliana na Membe kuwatumia Watanzania kwa siri katika mapambano huko Iraq. Membe tunaomba usikae kimya tujibu. Kwanini umepeleka majeshi Iraq bila sisi wananchi kujua???
 
Kama Membe yuko busy hata waziri wa ulinzi anaweza kutoa ufafanuai, au naibu wake
 
Hili tatizo likimalizwa labda na lile la Ballali litapata ufumbuzi mapema.
 
A U.S. soldier (L) from the Second Stryker Cavalry Regiment helps a wounded Iraqi soldier at the site where an explosive device went of inside a house during security operations in Diyala province August 8, 2008.

Hayo ni maneno muhimu kwenye hiyo habari, huyu ni mwanajeshi wa Iraq sio wa Marekani, sasa inawezekana Iraq imewakodi hawa wanajeshi kutoka Tanzania ili waongeze nguvu kwenye Jeshi lao??
 
Ama tutaambiwa tulikuwa tunatoa ujuzi wetu kwa majeshi mapya ya Iraq?Maana Wabongo hatukosi sababu hata siku moja!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom