kuna wana jf wanalala kama awa jamaaaaa

Money Stunna

JF-Expert Member
Aug 9, 2011
13,054
6,281
873732_%C3%AFSEUNWEN%C3%82%C3%AF_jpgbc39879d1fb7529070bbaae85eb27179
 
hakuna m2 anaejijua kuwa analalaje unaweza kujikuta ata wewe unalala hivyo hivyo, km huamini mhulize mkeo/mmeo.
 
hakuna m2 anaejijua kuwa
analalaje unaweza kujikuta ata wewe unalala hivyo hivyo, km huamini
mhulize mkeo/mmeo.

kila mtu anawaza tofauti na mtu mwingine kila sekunde hapa duniani....mwaaaah jf.
 
mkuu kungekuwa na shule ya kupata usingizi vema wengi wangeenda na tuition zake zingekuwa nyomi muda wote.

Lakini inabaki kuwa kilema kwa kila mmoja na style yake.
 
wengine wanalala kama wanachekesha,mimi najua nalala vizuri,nikilala nakuwa mzuri zaidi
 
Hawa mbona kama wanaumwa ule ugonjwa wa miguu na midomo siukumbuki unaitwaje tena kitaalamu? Sotoka? Waliosoma Agriculture pale URU Seminary wataukumbuka I hope!
 
Back
Top Bottom