Kuna wakati Yanga na Simba Zitakuwa Kama Twaha na Dulla

Basi kwa ubora wenu endeleeni kushinda mechi na sio kulalamika nyie makolo
Hawa makolo wana ushabiki wa kukariri hawaoni litimu lao mwaka huu ni libovu wao wanataka licheze kama mwaka jana.
Yatakufa mamtu mwaka huu kwa ushabiki wa mazoea.
 
Mnaanza kubweka Kama mbwa, iyo si ndiyo ilikuwa michezo yenu, wakati mnafanya mbona mlikuwa kimya kipindi kile kina makonda wanatoa milioni 20? Leo hii kumbe mnaona ni jambo baya,,mmerukwa na akili au mnaweweseka, na nyie si muendelee kutoa Kama mlivyokuwaga mnatoa au bosi amesusa bando limekata!
Ni swala la muda tu ubingwa mtausikia tayari uko Msimbazi.
 
Back
Top Bottom