Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 47,014
- 144,371
Yote yanayoonekana kufanywa na Bwana huyu, pamoja na yale yanayoonekana anayabariki/kuyafumbia macho, mambo haya yanaleta picha kuwa, huyu Bwana amekosa uwezo wa kutazama mbali, ameishiwa maarifa na zaidi anakimaliza kabisa kisiasa chama chake tena vibaya mno.
Anaonekana ni mtu wa kubariki na hata yeye mwenyewe kufanya blunders kubwa sana zinazomgharimu yeye na chama chakie kisiasa, lakini anakuwa ni kama mtu alietiwa upofu kiasi kwamba anakomaa tu hivyo hivyo bila kujali madhara ya mambo yanayoendelea chini ya uongozi wake.
Sometimes huwa napata hisia: kwakuwa kila jambo hutokea kwasababu maalumu, basi huenda tumeletewa huyu mtu ili kupitia yeye, chama chake na yeye mwenyewe wapate anguko la kisiasa.
Yeye na watu wake wanaharibu mpaka inashangaza na kwa kweli inatufanya tutafakari na kujiuliza kama huwa wanawazA kabla ya kutenda!
Siku yakitimia,watamkana na kujitenga naye, na hawataishia kuumkana tu,bali watataka hata chama chao kisihusishwe na matendo yake na ya watu wake.
Watadiriki kusema hadharani kuwa tatizo sio chama, bali tatizo ni yeye.
Wajumbe wameonyesha tu mfano wa jinsi anavyoweza kuja kutengwa na pia kudhihirisha ubovu wa maamuzi ambayo yeye na wanaomzunguka wamekuwa wakiyafamya.
Time will tell.