Kuna wakati unakuja wenzetu hawa watamkana na kujitenga na Mwenyekiti wao, na watataka chama chao kisihukumiwe wala kisihusishwe na matendo yake

Inaonekana kwa sasa wameingia kwenye mkwamo kisiasa.mwanaharakati huru kadri anavyojitokeza kujibu ndivyo anavyoharibu zaidi ilitakiwa wapate think tank zenye uwezo wa kujenga hoja na wenye ushawishi kwenye jamii
 
October atakae shinda Urais wa JMT ni

1. John Pombe Joseph Magufuli 85%
2. Tundu A. Lisu 10%
3. Membe 2%
4. Na kuendelea watagawana asilimia 3% zilizobaki

Save this thread till 30 October
Labda kwa kuiba kura.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom