Kuna wakati unakuja watakuja kusema tatizo sio chama bali tatizo ni fulani

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,011
144,371
Hakika nawambieni kuna wakati unakuja watatupigia magoti na kusema, "jamani tuchagueni tatizo sio sisi bali ni fulani kwani alikuwa hashauriki"

Hawataishia hapo bali watakwenda mbali zaidi na kusema, "matatizo mnayoyapata hayajasababishwa na chama bali yamesababishwa na yeye"

Watajitetea zaidi na kusema,"hata sisi tunaumia kama nyinyi ila na ndio hivyo tulishafanya makosa".

Baada ya wao kujipigia kampeni, hawatasema msimchague,bali watawaacha wenyewe muamue.

Nimetimiza wajibu wangu kuwafikishieni ujumbe huu.Kilichobaki sasa tusubiri wakati ufike maana muda ndio kila kitu.
 
Back
Top Bottom