Pablo
JF-Expert Member
- Apr 2, 2017
- 2,441
- 2,541
Ni kipindi hiki cha COVID 19.
Kuna wakati mtu unaweza tenda mazuri mia lakini moja baya likatia doa hayo mazuri mia.
Pia kutenda mabaya mia kuna zuri moja laweza futa hayo mia.
Kipindi hiki cha pandemic kimenifanya nifurahi kuwa mtanzania ukiachilia mbali changamoto za Rais Wetu Lakini he is a strong ever seen. Hata kama hatujui badae yetu lakini hadi sasa ni mtu pekee anaefanya tujivunie kuzaliwa Tz
Najiuliza tuu. Mimi ninaepata mkate baada ya kunyanyua mguu wangu toka nyumbani ningeishije kama kungekuwa na Lockdown.
Si mimi tu, Watanzania walio wengi wangeishi vipi kama kungekuwa na lockdown
Mataifa mengine wamepitia kwenye Lockdown lakini bado maambukiz ni lukuki kila kukicha bora yetu ambao hatutangazi maana kujua idadi kungetutia hofu na kutumaliza kuliko hata ugonjwa wenyewe.
Ukiangalia miradi ya maendeleo inavyoenda ndo utaamini mzee baba yupo serious come rain come sun.
Sasa kikubwa zaid ni kutatua changamoto ya mipakani ndani ya siku 2 tu na biashara kurejea as normal; aiseee this is a gifted President ever. Mnyonge tumnyonge lakini haki yake pia tumpe.
Ni bora uishi kwa amani na maisha yaendeleee kuliko kuishi kwa mashaka na wasiwasi bila uhuru kwa kufungiwa ndani na hujui hatma ya maisha yako.
I salute My President. I'm proud to be Tanzanian.
Tunaojivunia tuweke Comment kidogo