Kuna wakati magoli yanafungwa wewe kama shabiki watimu unakosa umlaumu nani.

Kwanza kabida mm nishabiki kindaki wa Liverpool jana tumepigwa vitatu na Fc Barcelona. Ila kama shabiki nilitafuta wakumlaumu kwa kipigo kile amekosekana. Nilitaka niseme labda refa ila hapana, sijui kocha uko nako hapana, wachezaji cjui wangefanya nn zaidi ili kuzuia zile goli? Kwakweli ata wachezaji wenyewe wasingeweza. Lile goli la kwanza sijui Surez alitokea wapi mungu wangu, goli la pili beki bora duniani alibidi ashike kiuno maana akujua Messi alikotokea, goli la tatu mungu wangu hii inaitwa an attempt to kill hivi kipa angefanya nn pale kuokoa goli? Messi mungu anakuona.
Hadi nimecheka
Huyu messi huyu jamani.
 
Hvi mnaomshabikia Ronadinho dhidi ya Messi sijui hata mnatumia nin kufikri , kwa kipi hasa alichokifanya Dinho??? leo hii mtandao wwte unaohusika na mambo ya soka hawawezi kumweka dinho hata kwenye top ten ya wachezaji bora waliowah kutokea....
Dinho alikuwa na madoido tuu, hakuna kingine na ndo mana style yake ilizimwa mapema tu akapoteana, watu wanahtaji performance sio urembo na mikwara mingi ya show off, Messi kaifikisha timu ya Taifa ya Argentina fainali ya kombe la dunia, kaifikisha fainali ya copa america two times, kaleta mafanikio Barcelona ya kufa mtu....Makocha wote bora duniani wanamhanya dogo, Mourinho alisema ni rahisi kuikabili baca bila messi, ila akiwepo Messi baca inakuwa timu nyingne, Ferguson alikuwa akikutana na Messi mavi yanagonga chupi yanarudi, Guardiola amekula nyingi tubkwa messi japo amekaa naye zaid ya miaka mitatu, Klop,wenger, nk

Inashangaza mchambuzi tokea gongo la mboto kwenye vibanda umiza au nyumban kwake anamuona Messi ni nonsense..kweli, eti anazidiwa na Dinho..Duuh
umepaniki na andunje wako kunywa maji kwanza utulie
 
Pele kachechezea santos miaka18 ,misimu yake miwili ya mwisho kaenda Marekani,lakini ndiye mchezaji bora wa FIFA pamoja nakukaa club moja miaka 18.Messi ni mtu mwengine kabisa wa aina ya peke yake .
 
Yule ndiye Lionel andres messi ..binaadamu aliyeletwa duniani kwaajili ya kufanya shughuli moja tu pekee ...

Kuwafundisha wachezaji wa mpira wa miguu kucheza mpira ..na kutu burudisha wapenzi wa mpira wa miguu

Halafu huyo uliye mtaja kuwa ni beki bora duniani Hiyo tuzo amepewa lini !?,...au ndio mmeshaanza misifa mashabiki wa epl kama ilivyo desturi yenu
Hormones alizodungwa vipi. .mchezaji wa laboratory
 
Mchezaji wa kiwango kile ana stahiki kubaki katika club 1kubwa pekee ambayo ndio inaendana na hadhi yake ....club ambayo ina vision za kunyakua mataji kila msimu mpya ... huwezi kumpeleka messi katika club ambazo ina struggle zaidi ya miaka 6 .25.12 .kuchukua tu ubingwa wa mashindano ya ndani na bado zina shindwa...kumtaka aende huko ni kumdhalilisha
Messi scam
 
yaani timu za EPL msimu huu zipo kwe ubora wa hali ya juu, barcelona haipo kwe ubora wake lkn still inawasumbua duh!
 
Lakini watu ndiyo walisema hii ndiyo defence bira zaidi. Klopp amelaumu sana defence, nadhani next week watachanganyikiwa sana.

Maana klop atapunguza midfielder ku add attackers, ili washinde mapema, hapo mwanzo wa maumivu mengine naona yanakuja.

Historia inaonyesha kuwa barca hawakuwahi kutolewa semi final wakiwa na magoli mengi,

Wote waliomng'oa walifunga wao mabao mengi, akikupiga nyingi first leg jua umesepa tu.
Angalia vizuri kumbukumbu zako,msimu uliopita alishinda nne moja kwa As Roma lakini akagongwa tatu bila mechi ya marudiano akatolewa
 
Back
Top Bottom