Kuna wakati magoli yanafungwa wewe kama shabiki watimu unakosa umlaumu nani.

Laumu Klopp.
Anaumia Keita unaingiza Henderson. Kwanini asiingie Firmino/Sturidge/Origi ili Winaldium (sinauhakika na Spelling) ashuke sehemu ya Keita?

Masikini ya Mungu mnahangaika sana SaaMbovu...sasa wangeingia hao ndio tim ingeshinda? Hivi mnafikiri Barca ni Huddersfield!!!
 
achana na kombe la watoto under 17 tena la olimpiki. Tunazungumzia Makombe Ya Wakubwa Kama Copa America, Kombe La Dunia. Kiufupi Mesi Nje Ya Barcelona Hawezi Kushindana Hata Na Rashford

Unachangia kishabiki mno shehe wangu...punguza basi 😀
 
images

11066642-3x2-940x627.jpg

Hlo goal still mi siwez kumlaum kipa, hyo ilikuwa ni imposible angle, magoli mawili ya mwanzo ni uzembe wa beki,
Ni kweli mkuu..ila movement ya kipa kutoka position aliyokua ndo ilimlet down..by the time kiganja chake knafika ile angle,mpira ulkua umepita sekunde chake
 
Davet sijakuona huku.Alaumiwe nani magoli ya juzi?
Hahah! hii nyuzi sikuiona mkuu na Cole Williams nimemuona page ya kwanza kabisa ila alishindwa kuileta nyumbani...

Goli mbili za mwanzo wakulaumiwa ni mabeki maana walionekana kuzidiwa sana ujanja na majamaa ila goli la tatu sioni wa kumlaumu. Messi ni hatari kwenye ile mipira ya kutenge, kuna wataalamu wa mambo wanasema ni bora mfanye Madhambi ndani ya box apige penalty kuliko kufanya nje ya box apige free kick
 
Huo ni ukweli, yaani ukiwaangalia wachezaji wakati Messi anajiandaa kupiga ni kama vile walikua wanajiambia huu ukuta tunauweka basi tuu .... kipa naye alikua anahaha kabisa.
 
Huo ni ukweli, yaani ukiwaangalia wachezaji wakati Messi anajiandaa kupiga ni kama vile walikua wanajiambia huu ukuta tunauweka basi tuu .... kipa naye alikua anahaha kabisa.
Indeed walijua kabisa pale ni eneo hatari kwa Messi hivyo walitegemea labda miujiza ya soccer itokee ili akose....
 
Acha ujinga , mmekuwa mkiongea hizi pumba zenu tangu wakina Henry , Deco , Ronaldinho , Xavi na Iniesta wapo .Watu walikuwa wanasema hawa viungo wakiondoka basi na Messi anaisha , swali ni je mbona bado yeye ndio anaibeba timu sasa ? Badala ya kupotea ? , kama hamjui mpira mkae kimya
wewe mpira umeujua toka lini? nasema mfumo wa Barca ndo maana hawezi hama hapo watamtimba miguu mpaka kimtoke.
 
Wanaenda wakiwa vijeba, yeye alienda kinda na muoga wa kuhama kama mzee wa Juve anavyofunguka.

Watanzania watu wa ajabu sana, sasa alikuambia au ulimsikia kwa masikio yako akisema yeye ni "Muoga" okay..Ronaldo kacheza premier league miaka yote lakini anae-ongoza kuzifunga Big 6 za england ni nani kama sio Messi? Na Messi hajawahi kucheza ligi ya England 😀😀

Screenshot_20190503-140741_Instagram.jpg

akili zingine bwana...huyo cr7 amefanya nini huko juve? Si angeipeleka tim yake semi final basi!!!

Kumbuka pia Juventus ni Mabingwa wa series misimu 7 mfululizo...sasa ubingwa wa mwaka huu utasema Ronaldo kaisaidia juve? Alafu Madrid kabla ya Ronaldo walikuwa na UEFA (9) utasema madrid ilimtegemea sana Ronaldo kuongeza UEFA zingine pasipo yeye Ronaldo kutegemea kikosi cha Madrid??? Kabla ya Messi Barcelona ilikuwa na UEFA (1) tu lakini sasahivi ina UEFA 5...je utasema Messi hana impact kwa Barcelona!!!!!
 
Acha ujinga , mmekuwa mkiongea hizi pumba zenu tangu wakina Henry , Deco , Ronaldinho , Xavi na Iniesta wapo .Watu walikuwa wanasema hawa viungo wakiondoka basi na Messi anaisha , swali ni je mbona bado yeye ndio anaibeba timu sasa ? Badala ya kupotea ? , kama hamjui mpira mkae kimya

You are absolutely right kamanda wangu...unaujuwa mpira haswaa...hao ni chuki tu zinawasumbua hawana kingine...na wataendelea kuteseka mpaka jamaa astaafu soka 😀😀
 
wewe mpira umeujua toka lini? nasema mfumo wa Barca ndo maana hawezi hama hapo watamtimba miguu mpaka kimtoke.

Acha kuwa na dhana mkuu...

Suarez-Liverpool to Barcelona
Aguero-Atletico Madrid to Man city
Mbappe-Lyon to PSG
Mo Salah-Roma to Liverpool
De Maria-Real Madrid to PSG
Aubamayeng-Dortmund to Arsenal
Iniesta-Barcelona to Vissel kobe
Paco Alcaser-Barcelona to Bayern Munich
Chicharito-Man u, Real Madrid, Bayern leverkusen to West ham United....

Wote hao wamehama ligi/Club na wanafanya vizuri, Messi ashindwe nini kuwika??? Acheni chuki za kijinga mkuu...hata Mungu hapendi hivyo!
 
achana na kombe la watoto under 17 tena la olimpiki. Tunazungumzia Makombe Ya Wakubwa Kama Copa America, Kombe La Dunia. Kiufupi Mesi Nje Ya Barcelona Hawezi Kushindana Hata Na Rashford
Ila cha ajabu zaidi kaifunga Liverpool...amepiga vitimu vyote ambavyo mashabiki wana midomo midomo kama Kasuku.Huko kwenye Makombe makubwa Tumwache Ronaldo ambaye ana Kombe la Europe lile.Messi abaki na kikombe chake cha watoto ila aendelee kupiga hao wenye midomo midomo.Ndio maana kuna Shetani na Malaika na chaguzi tu upende upande upi..
 
achana na kombe la watoto under 17 tena la olimpiki. Tunazungumzia Makombe Ya Wakubwa Kama Copa America, Kombe La Dunia. Kiufupi Mesi Nje Ya Barcelona Hawezi Kushindana Hata Na Rashford
Cha ajabu zaidi ya vyote kapiga Liverpool mbili tena na vijitimu vyenye ngebe nyiingi na mashabiki wake uchwara.Makombe Makubwa tumwachie Ronaldo na wengine huyo Bwana aachiwe anachoweza kufanya.Ni kweli Messi hawei kushindana na Rashford..Rashdord ni fundi eti.Si unaona UEFA alichofanya...Messi anabebwa mno na Marefa na Barca saaana.Kidogo tu Messi Messi ...Hata Samatta kamzidi Messi sema tu yupo Genk...
 
mkuu mesii hana mpira wowote wa burudani mpira wa burudani alikua ronadinho tu kina mess na ronaldo matokeo zaidi
Anavyote huyo, mpira bila magoli hakuna kitu. Sasa mbona Liverpool wana huzuni na wao wameongoza ball possession?

Jiulize swali
 
Back
Top Bottom