Kuna waishio Chunya, Mbeya au maeneo ya karibu humu?

Asanteni ila unajua tena kama hujui sehemu inakuwa ngumu mie naifikiria kama kijiji au ni town kubwa? kuna sehemu za kukodi vyumba? wapi nitapata info
 
Asante Preta, ni umbali gani na chunya?

Ni mwendo wa masaa mawili kutoka mbeya mjini, barabara is fairly good, ispokuwa kuna kona kali za hapa na pale ambazo ni kuwa mwangalifu nazo.
Ukiwa unaelekea chunya upande wako wa kushoto utaoba bonde zuri sana la usangu ( belong to rift valley). Kuna ukungu kidogo nyakati hizi

Ukifika chunya mjini ni mji mdogo na hauna u-bize sana, utapokelewa na mandhari mazuri ya umaskini wa kitanzania , lakini better than ludewa au ileje!

Kuna gest nyingi sana chunya mjini wala usiwe na hofu, kuna half london, mizeituni annex , na nyingi tu n.k

Mbele kidogo ya chunya mjini kuna mji mdogo unaitwa matundasi sehemu za migodi ni kama km 15 kutoka chunya mjini.

sehemu ya starehe ni mbele kidogo ya matundasi kama kilomita 8 utakuta mji wa viraha na maraha unaitwa Makongolosi

ni vizuri kuwahi kwani vijana wakishapata dhahabu zao huwa wanaweza kuchukua gest nzima na kulipia na akalala chumba kimoja tu!

maisha ni gharama kidogo, kwani dhahabu zimewaharibu.

is this information useful??
 
Nimeipenda jinsi ulivyoelekeza, umenikumbusha vizuri maeneo ya huko, Mkwajuni, Saza then kama unaelekea Manyoni kuna Lupa, Binti Manyanga, Matwiga....hahaha! Tanzania is very big bwana basi nashangaa tunavyobanana humu mjini.
 
Back
Top Bottom