Kuna Wabunge 37 ‘haramu’ bungeni ambao hawatambuliwi na Katiba

Kama Rais mwenye maono aliona ni wakati sahihi kuanzisha mchakato wa Katiba mpya kwa kusikiliza maoni ya wananchi.

Nikukumbushe tu. Yaliyoandikwa kwenye rasimu ya tume ya Warioba ni mapendekezo ya wananchi na sio ya CHADEMA wala wapinzani tu.

Ila CHADEMA wanapolazimisha Katiba mpya wanayoitaka wao wananchi tuitafute kwa jasho na damu kwa ajili ya kuwanufaisha wao wanakosa sapoti ya umma.
Wapi Chadema wamesema wanalazimisha katiba wanayoitaka wao, usipotoshe.
 
Watetezi wa katiba wakafungue kesi mahakamani kuhoji uhalali wa hao wabunge.
2018 wahuni kina Ndugai walishaupiga pini huo mwanya kwa kufanya marekebisho kwenye sheria, watu wangekuwa walishajitokeza siku nyingi tu.

Lakini je kipindi cha mwendazake nani angediriki kuweka maisha yake rehani namna hiyo ?
 
Bunge lifutwe.Halin msaada kwa walala hoi.Asilimia kubwa ya wabunge kwa sasa hawakutokana na kura za wananchi bali ni matakwa ya TUME ya uchaguzi
Umeshawahi kuwaza haya ukiwa sober?
 
Mtu mweusi ni Kima aliechangamka.Imagine CCM wanatumia zile ndege za serikali katika shughuli zao za kila siku za kichama kana kwamba ni mali ya chama!
MMvO0.jpg
Dor0.jpg
 
Hata tukipata katiba mpya, WAPINZAN wenyewe kama ni hawa skins mbowe,lipumba,mbatia n.k hawatatufikisha popote,ji waganga Njaa tuuh,

wapinzani wengi Sana waliohama na kuhamia ccm kuunga mkono juhud za mwendazake unadhan wanastahili Tena kuaminiwa??

NYalandu anahama CCM anaenda chadema,Hana hata mwez chadema wanampa nafas agombee Urais wa NCHI,baadae wakampa nafas agombee ubunge,muda mfupi baadae anahama anarud kule kule ccm KWA sababu na hoja za kifala kifala,kuna WAPINZAN hapo??
 
Hivi kwa hayo majimbo ya mkoa wa Morogoro inakuaje mtu anapita bila kupingwa??

Je ni sababu tosha kwa mkoa huo kutoendelea?

Yani majimbo 5 yote hakuna watu mbadala?
Morogoro ukiwapa bure bus maalum kwa ajili ya kwenda kuzika wapendwa wao wanakuteua uwe mbunge wao wa maisha.
 
Aah wapi. Huyu alimteka mgombea ubunge wa chadema akiwa mlango wa ofisi ya mkurugenzi anataka kurudisha fomu.

Akatuma watu waliojitambulisha kama maaskari na kuanza kumpiga mgombea wa chadema mbele ya mkurugenzi.

Wakamnyang'anya fomu na kumfungia chumbani next to the ofisi ya mkurugenzi. Halafu wakamwachia muda ukiwa umeisha.

Nadhani unakumbuka waliweka siku ya kurejesha fomu ilikuwa moja .

That man is an animal.

Nina pdf ya maovu yake yote huyu jamaa.
Kiukweli ule uchaguzi ulitawaliwa na kila aina.ya rafu mkuu toa hata kidogo tumjadili
 
Back
Top Bottom