Kuna Vyama au Watu wanaofadhiliwa Na Wapiga Deal?

August

JF-Expert Member
Jun 18, 2007
8,575
4,321
Kutokana na baadhi ya watu na baadhi ya vyama kubedha au kudhofisha Juhudi za Serikali kutekeleza, yale waliokuwa wanapigia kelele hapo awali/siku zilizo pita , kama rushwa na mikataba mibovu, basi ni wazi vyama hivyo na watu hao wana faidika na hiyo mikataba na nia yao ya kuingia madarakani haikuwa kupigania haki za watanzania bali matumbo yao kwa mgongo wa kujifanya kwamba wamekuja kurekebisha mambo ili mtu wa chini afaidike na rasilimali za nchi.
na hivyo ucheleweshaji wa hii miswada ya sheria za madini nk , ni kwa manufaa yao binafsi na sio nchi.
 
Back
Top Bottom