assadsyria3
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 6,903
- 4,051
Kilichotendeka bungeni wakati wa hoja ya kumwita Makonda kuungwa mkono 100% ni ushahidi tosha.
Alichosema Nape katka press yake kuwa tuangalie brand za watu.
Unganisha dots na alichosema Steve katika audio akiwahusisha Nape,Mwigulu,Msukuma Na baadhi ya watu ktk ofisi ya makamu wa Rais.
Rais Magufuli anamsapoti Makonda ni kama mkono wake, halafu aitwe bungeni kuhojiwa bila mawaziri kupinga, there is something wrong somewhere.
Hapa kuna mnara wa babeli unajengwa.