Kuna viongoz hapa tanzania wanadhani wao ni zaid ya malaika.

Fortilo

JF-Expert Member
Apr 10, 2012
4,722
14,244
Hiv karibuni kumekuwa na mtiririko wa hoja za wanasiasa kadhaa kutaka baadhi ya mitandao ya kijamii hasa jamiiForum.. ifungiwe kwa madai kwamba wanatukanwa sana, kudhalilishwa na mambo kama hayo, bila kujal mchango mkubwa mitandao hiyo inayotoa kwa jamii hasa katika sekta ya habar na mawasiliano. ... ctak kusema ni jambo jema kuwatukana viongoz wetu lakni, mbona wa2 wanatukanwa kwenye cm za mkononi hawasemi subscriber kama voda, tgo, au atel wafungiwe? najenga hoja kwamba kuna viongoz wanapenda kujiona kuwa wao ni zaid ya malaika, baasi wasiguswe, watuhubirie tuu kama taifa la wehu... hawatak mrejesho... wanadhan wanaweza kuua kas ya teknolojia.... hawa viongoz bado wako gizani, ni wajinga, tuwasaidie watoke huko... angalia hoja za NKAMIA, LETISIA, NDUNGAI.. na wengine wengi wa namna hiyo, hiv kosa la mtandao ni mtu anaetumia vibaya au mtandao wenyewe? na ukifuatilia kwa kina wapo ambao uchafu wao uliibuliwa kwenye mitandao ya kijamii, wanatafuta pa kujificha, kwa taarifa yao tunawaona!!?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom