Kuna vijipu vidogo huku ?

TUJITEGEMEE

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
24,747
24,794
Toka mwaka 2011 mpaka sasa 2016 ,wanaohusika na mtandao huu muhimu wameshidwa kukamilishwa uwekaji wa takwimu muhimu katika mtandao.

Mtandao naouzungumzia ni huu wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Pwani ( Regional Commissioner's Office Pwani - Home - )

Kuna takwimu muhimu kuhusu wilaya karibu zote hazimo kwenye tovuti hii...!? Kwa nini?
 
Back
Top Bottom