Kuna uwiano wowote kati ya rangi ya bati na rangi ya ukuta?

Lazima utakuwa CCM wewe, hivyo basi…. ukuta paka rangi ya NJANO itapendeza sana.
 
Mfano , nimenunua BATI rangi ya kijani JE ni rangi gani nipake ukutani ili iendane na rangi ya bati?
Tazama/soma hii chati itasaidia kutoa muongozo
Screenshot_20180516-045314.jpg
 

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom