kuna uwezekano wa kupata VIGAE (Tiles) vya rangi ya kijani na njano

Elongo Junior

Member
Apr 21, 2018
55
28
Naomba kuuliza kwa mafundi tiles (VIGAE ) pamoja na waiza bidhaa hii ya VIGAE kama kuna uwezekano wa kupata VIGAE vya rangi ya kijani na njano.

Samahani naomba majibu kwa wenye kujua
 
0 Reactions
Reply
Top Bottom