Kuna uwezekano wa kupata mimba siku za bleed?

Santana

JF-Expert Member
Apr 23, 2019
277
884
Habarz za asubuhi wana JF.

Nipo kwenye mausiano na mpenzi wang ila karibu miez 5 hatukuwahi kuonana kutkan n sababu zilizokuwa nje ya uwez. Sasa siku tumekutana ilikuw ni siku ya 1 kabla ya kuanza bleed na tukakutana mpaka siku yenyewe anableed ila saivi nashangaa ni mjamzito.

Naomba mnisaidie kujua kama inaweza ikatokea akapata ujauzito kipindi akiwa anableed tena mimba inaonyesha ina week 2 ambazo ni muda toka nimeanz kulala nae.
 
Mara ya mwisho mke wako kuona siku zake ni lini, alianza tarehe ngapi na akamaliza tarehe ngapi?
Mzunguko wake ni siku 21, 28 au 35? au siku ngapi?...Kujua hili muulize period aliza lini january, february na March then hesabu kutoka bleed moja kwenda nyingine zinapita siku ngapi ndo utajua mzunguko ni wa siku ngapi?

Silengi kuvunja mahusiano yenu lakini hapo umegongewa mzee.
1 Day before menses na a day of menses haiwezi kutungisha mimba...Labda utwambie Cycle yake ni siku 14
 
Hiyo mimba siyo yako...!
 
Ukiangalia chart hiyo hapa chini,napata shida kukubali kuwa inawezekana kupata mimba kwa siku hizo,

Hebu itafakari nawe pia.
images%20(10).jpg
 
Umezunguka sana mzee 😁😁
Mara ya mwisho mke wako kuona siku zake ni lini, alianza tarehe ngapi na akamaliza tarehe ngapi?
Mzunguko wake ni siku 21, 28 au 35? au siku ngapi?...Kujua hili muulize period aliza lini january, february na March then hesabu kutoka bleed moja kwenda nyingine zinapita siku ngapi ndo utajua mzunguko ni wa siku ngapi?
Ungemwambia tu moja kwa moja .
umegongewa mzee.
1 Day before menses na a day of menses haiwezi kutungisha mimba...Labda utwambie Cycle yake ni siku 14
 
Umezunguka sana mzee

Ungemwambia tu moja kwa moja .
Mbona maelezo yako straight, issue kubwa hapo ajue mzunguko wa mke wake, Ni very rare kukuta mtu anazungusha siku kumi na nne 14 ambazo technicaly ndo zina possibility ya kuwa siku ana bleed na ndio ana ovulate na hapo ndo science inaanza kugoma.

Wonders kwenye tasinia ya afya zipo na kuna vitu mpaka uwa tunaviandikia Case study, probably yake nayo inafaa kuwa case stufy iwapo atathibitisha mzunguko wa mke wake
 
Inawezekana kabisa na kuna wanawake huwa wanashika ujauzito siku ya kubleed tu.

Kuna maza mmoja amewahi kuhangaika na tatizo la kutokupata mtoto kwa miaka kumbe siku ya kupata mtoto ni siku za bleeding na alikua anaavoid kusex siku hio.
 
Mara ya mwisho mke wako kuona siku zake ni lini, alianza tarehe ngapi na akamaliza tarehe ngapi?
Mzunguko wake ni siku 21, 28 au 35? au siku ngapi?...Kujua hili muulize period aliza lini january, february na March then hesabu kutoka bleed moja kwenda nyingine zinapita siku ngapi ndo utajua mzunguko ni wa siku ngapi?

Silengi kuvunja mahusiano yenu lakini hapo umegongewa mzee.
1 Day before menses na a day of menses haiwezi kutungisha mimba...Labda utwambie Cycle yake ni siku 14
Tukiachana na ile chart, ni siku ipi hadi/na ipi ni uhakika kuwa ukikutana nae HAPATI mimba? Hii kitu inasumbua sana
 
Bila kujua mzunguko wa mwanamke hesabu zinakua Ngumu.
Wanawake wengi wanazungusha siku 28.

Katikati ya mzunguko wa siku 28 ndio huzalisha yai, na kuanzia siku hiyo unahesabu siku tatu mbele na siku tatu nyuma utalata Jumla ya siku saba ambazo ndo zenye hatari ya kupata Mimba.

Kama mwanamke amezungusha siku 21 maana yake hapa mzunguko umefupika lalini siku kumi na nne za mwisho wa Cycle zinabaki vile vile.
Hivo ndani ya siku saba tokea ameanza period atakua katika hali ya hatari na Mwanamke wa Mleta mada ndo huenda anaangukia hapa

Kama mwanamke anazungusha siku therathini na tano unatoa 14 tena kwenye 35 na tarehe unayopata ndo yai litazalishwa.

Mwendo unaendelea.

Kikubwa ni ku trace Siku za mwanamke walau kwa zaidi ya mizunguko miwili huwa anatumia siku ngapi kuona period kwa average na hesabu zinaanzia hapo
 
Habarz za asubuhi wana JF.

Nipo kwenye mausiano na mpenzi wang ila karibu miez 5 hatukuwahi kuonana kutkan n sababu zilizokuwa nje ya uwez. Sasa siku tumekutana ilikuw ni siku ya 1 kabla ya kuanza bleed na tukakutana mpaka siku yenyewe anableed ila saivi nashangaa ni mjamzito.

Naomba mnisaidie kujua kama inaweza ikatokea akapata ujauzito kipindi akiwa anableed tena mimba inaonyesha ina week 2 ambazo ni muda toka nimeanz kulala nae.
unawezekana mkuu kuna watu wanapata ujauzito siku ya bleed tu.Na ukitaka kuligundua hilo ni siku wakiwa wako period huwa wanahamu kubwa sana ya kufanya mapenz kupita maelezo
 
Inawezekana ndio lakini kama ana hormonalimbalance.lakini Kama hana hilo tatizo la homoni basi UMEPIGWA.
 
Habarz za asubuhi wana JF.

Nipo kwenye mausiano na mpenzi wang ila karibu miez 5 hatukuwahi kuonana kutkan n sababu zilizokuwa nje ya uwez. Sasa siku tumekutana ilikuw ni siku ya 1 kabla ya kuanza bleed na tukakutana mpaka siku yenyewe anableed ila saivi nashangaa ni mjamzito.

Naomba mnisaidie kujua kama inaweza ikatokea akapata ujauzito kipindi akiwa anableed tena mimba inaonyesha ina week 2 ambazo ni muda toka nimeanz kulala nae.umesema mlipokutana alikuwa anakaribia kubleed mkakunjana mpaka akableed sio?

Na hivi sasa MNA wiki 2 Tangu mkunjane,, na mimba ina wiki 2?

Kama NI hivo kuna walakini

Siku kabla ya bleed huwezi kutungisha mimba na baada ya bleed siku kumi mbele huwezi tungisha mimba hii ni kwa wote wenye mzunguko wa siku 28,32,35 n.k

Ushauri mchukue kama saprise mpeleke kituo cha afya asichokijua mkapime hiyo mimba achana na mambo ya kusema we kaa nje ngoja niingie peke yangu kwa dkt, uangalie mimba ni ya mda gani? Hapohapo uombe ushauri kwa dkt kama unahisi zengwe.

Sio kuja kuuliza madkt mtandaoni kama wale marais wa mtandaoni.
 
Back
Top Bottom