Kuna uwezekano wa kupata mimba siku za bleed?

Na hivi sasa MNA wiki 2 Tangu mkunjane,, na mimba ina wiki 2?


Kama NI hivo kuna walakini

Siku kabla ya bleed huwezi kutungisha mimba na baada ya bleed siku kumi mbele huwezi tungisha mimba hii ni kwa wote wenye mzunguko wa siku 28,32,35 n.k

Ushauri mchukue kama saprise mpeleke kituo cha afya asichokijua mkapime hiyo mimba achana na mambo ya kusema we kaa nje ngoja niingie peke yangu kwa dkt, uangalie mimba ni ya mda gani? Hapohapo uombe ushauri kwa dkt kama unahisi zengwe.

Sio kuja kuuliza madkt mtandaoni kama wale marais wa mtandaoni.
Nimekuelewa apo na ushauri wako nitaufanyia kaz
 
Habarz za asubuhi wana JF.

Nipo kwenye mausiano na mpenzi wang ila karibu miez 5 hatukuwahi kuonana kutkan n sababu zilizokuwa nje ya uwez. Sasa siku tumekutana ilikuw ni siku ya 1 kabla ya kuanza bleed na tukakutana mpaka siku yenyewe anableed ila saivi nashangaa ni mjamzito.

Naomba mnisaidie kujua kama inaweza ikatokea akapata ujauzito kipindi akiwa anableed tena mimba inaonyesha ina week 2 ambazo ni muda toka nimeanz kulala nae.
Pole mzee baba
 
Back
Top Bottom