Kuna uwezekano wa kuongeza ujasiri na kupunguza hofu?

Viol

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
25,426
18,228
Habari zenu madaktari na wanajamvi!

Hivi kuna uwezekano wowote wa mtu kupunguza kuwa na hofu/uoga na kuwa jasiri?
Unaweza ukakuta mtu mwingine anasimama mbele ya watu wengine na anaongea bila tatizo ila unakuta
mwingine akisimama anaanza kutetemeka mpaka anasahau kila kitu.
Pia kuna mwingine unakuta ana ujasiri wa kupigana ila mwingine ni mwoga.
Je kuna utatuzi wa haya mambo?
 
hapo ni suala la mazoea, njia pekee ni kujenga mazoea ya kuongea mbele ya watu na mwisho wa siku uwoga utapungua. Hilo tatizo limeshanikumba
 
thanks much mkuu
 
Dawa ya Kuongeza ujasiri inatakikana wewe kama ni mkristo Au ni muislam Usali sana na kumuweka mbele Mwenyeezi Mungu kwa kila kitu, na ujiepeushe Uzinzi,ulevi,uvutaji sigara,Uvutaji madawa ya kulevya uvutaji wa bangi, fanya sana mazoezi ya mwili. Ujasiri utakuwa nao na Wasiwasi utakuondoka kwani wasiwai unatokana na shetani.
 
hapo ni suala la mazoea, njia pekee ni kujenga mazoea ya kuongea mbele ya watu na mwisho wa siku uwoga utapungua. Hilo tatizo limeshanikumba

na kwenye kupigana je?
 
Hapo sasa unaonyesha uwoga wako umekithiri secta nyingi... Ingekuwa ulianza mapigano longi ungezoea. Ila hata nikikwambia upigane mara kwa mara itakujengea kujiamini. Angalia usidundwe tu
 
Back
Top Bottom