Kuna Uwezekano wa kujiunga JWTZ direct bila kupitia JKT?

mactal

Member
Nov 14, 2016
72
103
Wakuu habarin za leo na pole na majukumu ya Hapa na Pale.

Wakuu naomba msaada wa kuelewesha kidogo. Hivi kuna uwezekano wa mtu kujiunga JWTZ Bila kupitia JKT? Na kama ndio ni changamoto zipi atakazokumbana nazo tofauti na Aliyepitia JKT?
 
Kwa taratibu zilizopo Sasa no with few exceptions for on demand specialities in a medical field . Eg surgery and the like. Otherwise NO NO.....!
 
Taraatibu zilizopo jkt kwanza unless kuwe na mahitaji muhimu... Mara chache inaweza ikawa professionals madaktari in particular..... Subiri usaili wa jkt unakuja
 
Wakuu habarin za leo na pole na majukumu ya Hapa na Pale.

Wakuu naomba msaada wa kuelewesha kidogo. Hivi kuna uwezekano wa mtu kujiunga JWTZ Bila kupitia JKT? Na kama ndio ni changamoto zipi atakazokumbana nazo tofauti na Aliyepitia JKT?
Mkuu, umeahidiwa kupelekwa depo nini..

Anyway thats not big deal kujua, ila cha msingi ni utakutana na exprience mpya tu , maumivu kidogo but kubwa zaidi ni uvumilivu kozi ya kijeshi haina mwenyewe, kozi hazizoeleki.

Ushujaaa na ukakamavu upo moyoni sio katika muonekano wa kibabe.....kazaaa
 
Sorry wakuu nam napenda kuuliza hapo binafs nimesoma aircraft maintance engineering and i wish kuingia uko. vp pia siwez bila jkt plz answer m..
 
Back
Top Bottom