Kuna uwezekano serikali haiwatambui waliosoma shahada ya elimu ya awali

PAZIA 3

JF-Expert Member
Jan 30, 2018
1,070
1,842
Kulingana na matangazo ya ajira serikalini yanavyotoka na wanavyoajiri, sijawahi kuona wakiwazungumzia hawa wahitimu wa shahada ya elimu ya awali.

Huenda Joyce Ndalichako aliiruhusu hii course kwa degree lakini baadae wakaona inacost serikali.

Niiombe serikali iwape japo nafasi kwenye vyuo vya kati wakawe hata wakufunzi wasaidizi kwa elimu ya awali.
 
Hemu taja jina la hiyo Program kwa kiingereza inavyoitwa huenda tataizo ni wewe.
 
Back
Top Bottom