Kuna uwezekano Safina ya Nuhu ilitua juu ya Mlima Kilimanjaro

800px-Yerevan_Armenia_with_the_backdrop_of_Mount_Ararat.JPG
.
Mount ararat in Turkey.

jaribu kutofautisha miaka mingi ya nyuma iliyopta yawezakuwa enz hzo kulikuwa nchi ya uturuki ilikuwa haipo kama ilvyo tanzania wakat zaman ilitwa tanganyika bible haisemi uongo hata kidogo n ukwel mtupu
 
Awali Ya Yote Poleni na majukumu ya kujenga Taifa

Nlipata Nafasi ya kwenda kijiji kwetu kumsalimia Babu ndipo wakati tukiwa tukiongea aliniambia history ambayo kwa sehemu kubwa ilinifikirisha ma kuniaminisha katika Ukweli fulani.

Akiwa katika hali ya msisitizo na hisia fulani kuniambia kuhusu Baraka ambazo Mungu ametupa Tanzania lakini tumeshindwa kuzitumia anasema:

Kuna vitu ambavyo nasi tuliambiwa na mababu zetu zinatuvutia kuamini kutokana na uhalisia ni kuwa wakati wa gharika inasadikika safina ya nuhu ilitulia mlima kilimanjaro Kwani ndiyo mlima mrefu zaidi Africa ule wa Everest ni mkusanyiko wa vilima na ndiyo maana unaona hata jirani na mlima kuna mbuga za wanyama zenye maajabu ya kila aina duniani na ni nchi pekee ambayo ina mbuga nyingi za wanyama..

Anaendelea kusema "Huoni tumezungukwa na Maziwa? tuna ziwa victoria, Tanganyika, nyasa hii ni Mungu kwa jinsi alivyofanya baada ya gharika akaipendelea Tanzania ili tusiwe na ukame..

Ukiangalia fuvu la kwanza la mtu wa kale zinjanthropas Tanzania yamkini Adam alifia Hapa
Haya alikuwakuwa akifikiria tu

Wana jamii Najua kuna wataalamu wa historia hapa na wengine wana sources za historia..
Karibuni tujadili

Je, Kuwepo kwa Vitu vya asili na vya maajabu kunatudhirishia kwamba Safina ya Nuhu ilitulia Mla Kilimanjaro?

Karibuni!!
Kumbuka dunia ilikua bara moja hapo awali ambapo iliitwa Pangea, kwa waliosoma Jiografia wanajua hili. Hii Pangea ilianzia Tanzania ya sasa, Sudani, Ethiopia mpaka maeneo ya Asia. Continental drift na plate tekitoniki movement ndo zilifanya kukawa na mabara haya tuliyonayo sasa. Kwaiyo chimbuko la mwanadamu kiasilia ni Tanzania hapa na ndipo ilipokuwepo bustani ya edeni, tazama wanasema bustani ilizungukwa na mito minne lkn ktk maandiko inatajwa mito miwili tu, ni nchi gani duniani ambayo imezungukwa na mito minne mikubwa kama sio Tanzania pekee? Inasemekana pia Safina ilitua mlima Uluguru Morogoro na wanyama kushuka kuelekea Selous, Mikumi, Ruaha, wengine kushuka Morogoro mjini na kuambaa kuelekea huko kwingineko.
 
Adam alikufa miaka 6000 tu,huyo zinjanthropus wa olduvai ni miaka milioni unaongelea
 
Hivi wewe umeshawahi kusoma Biblia kweli,hebu nenda kasome,utajua Safina ya Nuhu ilitua wapi,usituletee hekaya za Abunuasi hapa.
 
Kumbuka dunia ilikua bara moja hapo awali ambapo iliitwa Pangea, kwa waliosoma Jiografia wanajua hili. Hii Pangea ilianzia Tanzania ya sasa, Sudani, Ethiopia mpaka maeneo ya Asia. Continental drift na plate tekitoniki movement ndo zilifanya kukawa na mabara haya tuliyonayo sasa. Kwaiyo chimbuko la mwanadamu kiasilia ni Tanzania hapa na ndipo ilipokuwepo bustani ya edeni, tazama wanasema bustani ilizungukwa na mito minne lkn ktk maandiko inatajwa mito miwili tu, ni nchi gani duniani ambayo imezungukwa na mito minne mikubwa kama sio Tanzania pekee? Inasemekana pia Safina ilitua mlima Uluguru Morogoro na wanyama kushuka kuelekea Selous, Mikumi, Ruaha, wengine kushuka Morogoro mjini na kuambaa kuelekea huko kwingineko.
Mkuu Unaweza Kutoa Elimu Ya Zaidi Kuhusu Hili?
 
jaribu kutofautisha miaka mingi ya nyuma iliyopta yawezakuwa enz hzo kulikuwa nchi ya uturuki ilikuwa haipo kama ilvyo tanzania wakat zaman ilitwa tanganyika bible haisemi uongo hata kidogo n ukwel mtupu
Poor u
 
BBC wametangaza kwamba hata mfupa ya dinosaurs imepatikana Tanzania. Well, kama safina ya Nuhu ingekuwa ilitua mlima kilimanjaro, basi ni wazi Tanzania, Kenya na Uganda zingekuwa ni most populated countries in the world. Habari yako ni ya kusadikika tu, kama ilivyo ya kusaidikika hiyo story ya safina ya Nuhu.
Basi tufanye ilitua india au china
 
Hakukua na safina,yalikua mafuriko ya mto Tigris na frat uko mesopotamia,hakukua na safina,,kulikua na Ngalawa tu ya kawaida,na vimbuzi viwili vitatu,pamoja na family ya nuhu
 
Gharika ya nuhu mvua haikunyesha dunia nzima.ilinyesha uko mashariki ya kati tu.Ndo maana muktadha mzima wa maandiko ya biblia yameelezea uko.hiyo ndiyo iliyokua inaitwa dunia.

Naomba kuelimishwa, mnaposema ‘mashariki ya kati’ mnakua mnamaanisha nini? Mashariki ya kati ya Dunia? Mashariki ya kati ya UAE? Mashariki ya kati ya Afrika? Mashariki ya kati Uingereza / Ulaya? Mashariki ya kati ya Asia?

Kama ni mashariki ya kati ya Afrika, maswali mengi yanaweza kupata majibu na kuinua maswali mengi zaidi na ya msingi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom