Kuna uwezekano mawaziri wawili wakapumzishwa kabla ya mwisho

TumainiEl

JF-Expert Member
Jan 13, 2010
6,188
11,219
Kwa hali ilivyo na hii issue ya Maembe kushika kasi kuna mawaziri wawili wanawezwa pumzishwa japo kwakuwa ni wazuri kama bashite mkuu anapata tabu but no way hali tete nakujisafisha nikuwaweka mapumziko.

Pia muhimili mwingine cheche zinawaka baada yakurushiana mpira na wateule kiukweli jamani let pray japo Rais ni Taasisi hivyo mh Rais ananamna ila kufanya maamuzi magumu.

Pia kuna yule jamaa naye bado hali tete uwenda asirudi ofisin japo atalia sana.
But tutake amatusitake haya maamuzi yanakuja kwa mkakati mzito.

Usije sikia Nnape kapewa uwaziri juwa kazi inaendelea usie mpenda kaja maisha yanaendelea.

Sorry wanaweza wakaongezwa
Rais ni wa wote jamen.
 
Kiungo mshambuliaji timu imefungwa wewe kila ukipata mpira unarudisha nyuma kwa mabeki wabutue, hapo tunasema midfield imekufa coach anatakiwa abadili mbinu za mchezo sasa inategemea uwezo wa kocha na benchi lake la ufundi kubadili matokeo kama yale ya LIVERPOOL VS AC MILANI wanaume wakabadili mchezo kombe likatua ANFIELD.
 
Jenister Mhagama ni Waziri ambaye alitakiwa kutumbuliwa mapema sana, na yule mama wa SSRA hatakiwa kuwepo ofisini kwa hata siku mbili... Issue ya mafao ni critical na linahitaji clitical thinking and technical dialogue kuliko akili za hao waliopewa mamlaka.
Nashangaa CCM inajinasibu chama cha wanyonge wakati si Mwenezi wala Katibu mkuu aliyenyanyua mdomo juu ya hili sasa sijui wanatetea wanyonge wapi.. Tanzania kwa sasa inahitaji watu wenye akili nyingi na maarifa ya kutosha tena na exposure kubwa kuweza kuendesha mifumo...
 
Ninachokiona hapa ni Dr. Bashiru kujaribu kuua mjadala wa mafao kwa kujaribu kushambuliana na Membe. ila kiukweli bado sana. namshauri aachane na Membe aje hapa atuambie kuhusu hawa wanyonge wanaowahubiri lakini sasa wanawaibia mafao yao kiasi cha kutaka kuwaua. Labda atuambia kama ni mkakati maalumu wa kuwaua wastaafu kwa pressure ili waseme wanyonge wamepungua? Kama ni hivyo nakubaliana naye na ikibidi atoe hata hilo tamko. Otherwise siwezi kuwaelewa yeye ni Polepole. waje tu waseme hata sentensi mbili kuhusu hawa wastaafu. na kama hawawezi watumie ile spika yao inayoitwa Musiba na ikiwezekana aseme huo pia ni mkakati wa CHADEMA na amabeberu kuhujumu utawala. Sisi tutakuwa tayari kusikia lolote kuhusu hoa wastaafu wanyonge.
 
wameshaanza kuwatumia kina hassan ngoma kusema kuwa esta bulaya anatafuta kick za kisiasa kuwatetea watumishi. Nanataka wanasiasa wawaachie watumishi wapambane wenyewe
 
Ndomaana nikasema analoongea halitoki moyoni. sheria inabadlishwa na nini? Basi watume mbunge wa CCM ili na yeye apate hiyo kiki
 
Watumishi fanyeni hujuma indirect dhidi ya serikali hii onevu kwenu ni miaka mitatu hakuna ongezeko la mishahara na maslahi yenu yanazidi kukandamizwa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom