Kuna uwezekano Kisinda, Chama na Kishingo wakaja kuua nyoka kwa Mkapa

CHIZI VITABU

JF-Expert Member
Jun 12, 2021
1,061
2,475
KAMA MADUKA yataendelea kupewa nafasi za kujimwamwaya na ma libero kama Wawa wanaokataa kuruka juu wataendelea kuchekewa basi tutarajie maumivu makubwa huko shirikisho sababu hadi sasa kuna uwezekano mkubwa Rs berkane au Fs rabat(nafikiri wamefuzu) kuja kuua nyoka kwa lupaso

Mimbio ya kisinda na ule uuzaji duka tuliouona upande wa kulia jana tutarajie kuzomewa na wana utopwinyo hadi tulie machozi ya damu ila one thing for sure najua hizo mechi mashabiki watazisusia unless TUONE SOME REAL CHANGES

Kama namuona clatous chama atakavyokuwa anampiga makanzu pascal wawa, uwiii Mungu tuepushe na fedheha inayokuja
 
Mkuu usiteseke sana acha iendelee kunyesha ili tujue panapovuja
 
sana ndugu yangu kama vile nimetupiwa kwenye pipa lenye acid
Yaani unateseka kumshinda Msemaji wako Mwijaku ambaye aliahidi kutembea uchi iwapo timu yenu itafungwa, na kushindwa kufanya hivyo mara tu baada ya kichapo cha mbwa mwizi!

Pole sana.
 
sana ndugu yangu kama vile nimetupiwa kwenye pipa lenye acid

Kwanini uteseke?

Ukiona Boss Mo anapunguza majukumu kwenye club yetu pendwa ujuwe ndio anajitoa taratibu.

Mifano kwenye vilabu alivyowahi kuvimiliki akahamua kujiondoa kiaina
 
KAMA MADUKA yataendelea kupewa nafasi za kujimwamwaya na ma libero kama Wawa wanaokataa kuruka juu wataendelea kuchekewa basi tutarajie maumivu makubwa huko shirikisho sababu hadi sasa kuna uwezekano mkubwa Rs berkane au Fs rabat(nafikiri wamefuzu) kuja kuua nyoka kwa lupaso

Mimbio ya kisinda na ule uuzaji duka tuliouona upande wa kulia jana tutarajie kuzomewa na wana utopwinyo hadi tulie machozi ya damu ila one thing for sure najua hizo mechi mashabiki watazisusia unless TUONE SOME REAL CHANGES

Kama namuona clatous chama atakavyokuwa anampiga makanzu pascal wawa, uwiii Mungu tuepushe na fedheha inayokuja

FAR Rabat ya Sven imeaga mashindano ya shirikisho CAF
 
Back
Top Bottom