Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 13,498
- 51,092
Sizungumzii wazo, nazungumzia kutafuta fedha na kusaini mradi ili uanze rasmi.Issue ni kwamba.. Kama ni Mkopo umepokelewa lini?
Maana hata Bwawa la Umeme nalo ni wazo la Nyerere
Haiwezekani mradi ubuniwe na mtu X, utafutiwe fedha na mtu X halafu ukamilike wakati wa mtu Y kisha uje useme eti ni achievement ya mtu Y
Ndiyo maana uwanja wa Mpira wa Benjamin Mkapa ulianza ujenzi wakati wa Mkapa ukakamilika wakati wa Kikwete lakini credit tunampa Mkapa na si Kikwete