Huyu mama ana matatizo ya akili kama mtangulizi wake, hawashaurikiKumekuwa na Tetesi toka vyanzo mbali mbali kuwa kesi ya Mbowe na Wenzake huenda ikafutwa leo.
Kwa Mujibu waTwitter wa Reporter Mpambanaji ambaye amekuwa akireport kesi hii bila kuchoka toka awali Martin Maranja Masese amesema nanukuu
" Leo kunaweza kuwa na Habari Njema wote tukasome Wagalatia 3:26-28"
Kumekuwa na taarifa kadhaa zikisema kumekuwa na jitihada za baadh ya viongozi waandamizi wastaafu, Viongozi wa Dini ambao wamekuwa wakimuomba Mama Samia kiutaka ofisibya DPP kufuta kesi hiyo.
Mbali ya viongozi hao kwa wale wanaofuatilia mwenendo mzima wa kesi hiyo ni dhahiri kuwa Mashahidi wanekuwa dhaifu sana kwenye ushahidi wao kiasi ambacho Mawakili wasomi wengi wamesema kwa kesi ya Ugaidi hakuna ushahidi wa maana mpaka sasa unaweza kuwatua watuhumiwa hatuani pamoja mpka sasa zaidi ya mashahidi kumi (11) wameshatoa ushadi wao.
Pia kuna watu wengi wamekuwa wakiita kesi hii ni ya Mchongo kutokana na mwenendo mzima wa ushahidi unatolewa mahakani hapo.
Niwatakie siku njema, Twendeni mahakani.
View attachment 2095917
View attachment 2095918
View attachment 2095926
Kesi inayokuwa initiated na Polisi mwenye Degree ya Sociology ya Open University unategemea itakuwaje mkuu?Nimekuja kujua watu wengi wa serikalini ni vilaza
Peoplessss …💪🏾Habari njema hizi,Mwamba arudi uraiani tuendelee na makongamano yetu ya kudai Katiba mpya.
Habari njema hizi,Mwamba arudi uraiani tuendelee na makongamano yetu ya kudai Katiba mpya.
Kama hata maofisa wa polisi wana ua wa ajili 30m hapo kuna polisi tena kweli?? Halafu bado Siro yuko madarakani.. Hovyooo!!!Sasa mashahidi wameshaulizwa kama sehemu yoyote wamewahi kusikia watuhumiwa wakipanga kutenda ugaidi..wote wamesema hapana. Kuna kesi gani hapo ya ugaidi? Nimekuja kujua watu wengi wa serikalini ni vilaza... huwezi kusuka kesi kama hii huku huna voice note au msg zozote zinazoonyesha watu wanapanga ugaidi
Kuna kazi nyingi zinamsubiri.Mbona mwanzo mlisema hamtaki atoke mpaka mahakama iamue.
Amueleweki
Wewe kweli ni mjinga. Nakuelewesha hapa ili upunguze ujinga.Kwanini wamtoe WENYEWE hawataki .acha mahakama iamue
Kuna kazi nyingi zinamsubiri.
Wewe kweli ni mjinga. Nakuelewesha hapa ili upunguze ujinga.
Hawakusema kuwa hawataki Mbowe atoke bali Mbowe mwenyewe alisema hataki kutoka kwa kuomba msamaha wakati hana kosa.
Wengi wakasema pia ni aheri kesi iendelee kuliko kuomba msamaha wakati wewe unayeambiwa uombe msamaha ndiye uliyestahili kuombwa msamaha. La sivyo ni aheri kesi iendelee ili hawa majuha na mahakama yao ya mchongo wazidi kuumbuka.
Anatakiwa akiri kosa la kufanya ugaidi na aahidi kutorudia kosa, aombe msamaha. Na unapoomba msamaha siyo lazima ukubaliweSasa mnachanganya hamueleweki.
Zito alimuombea msamaha mkasema zito mnafiki.
Ila Mimi nilikuwa upande wa zito.
JELA SIO KUZURI.ila wenye mwenyekiti wenu mlipinga mkataka mahakama iamue.
Basi tuache mahakama iamue Ila mkae mkijua siku zinaenda
Anatakiwa akiri kosa la kufanya ugaidi na aahidi kutorudia kosa, aombe msamaha. Na unapoomba msamaha siyo lazima ukubaliwe
Kwa KOSA gani? Mbowe sio GAIDI.Zito alimuombea msamaha mkasema zito mnafiki.
Mahakama gani? hizi za kusubiri amri kutoka juu.mahakama