Kurunzi
JF-Expert Member
- Jul 31, 2009
- 9,271
- 9,900
Kumekuwa na Tetesi toka vyanzo mbali mbali kuwa kesi ya Mbowe na Wenzake huenda ikafutwa leo.
Kwa Mujibu waTwitter wa Reporter Mpambanaji ambaye amekuwa akireport kesi hii bila kuchoka toka awali Martin Maranja Masese amesema nanukuu
" Leo kunaweza kuwa na Habari Njema wote tukasome Wagalatia 3:26-28"
Kumekuwa na taarifa kadhaa zikisema kumekuwa na jitihada za baadh ya viongozi waandamizi wastaafu, Viongozi wa Dini ambao wamekuwa wakimuomba Mama Samia kiutaka ofisibya DPP kufuta kesi hiyo.
Mbali ya viongozi hao kwa wale wanaofuatilia mwenendo mzima wa kesi hiyo ni dhahiri kuwa Mashahidi wanekuwa dhaifu sana kwenye ushahidi wao kiasi ambacho Mawakili wasomi wengi wamesema kwa kesi ya Ugaidi hakuna ushahidi wa maana mpaka sasa unaweza kuwatua watuhumiwa hatuani pamoja mpka sasa zaidi ya mashahidi kumi (11) wameshatoa ushadi wao.
Pia kuna watu wengi wamekuwa wakiita kesi hii ni ya Mchongo kutokana na mwenendo mzima wa ushahidi unatolewa mahakani hapo.
Niwatakie siku njema, Twendeni mahakani.