Kuna uwezekana mkubwa Uganda, Rwanda kuachana na matumizi ya bandari ya Dar na kwenda Mombasa, Mkuu wetu yawezekana hashauriki

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,868
Kibiashara Kuna Dalili za Bandari ya Mombasa kuteka Biashara Afrika Mashariki katika kipindi hiki Cha Korona. Hii ni message Museven anatutumia.

Natamani kusikia mipango ya Waziri wa Fedha na Waziri wa Biashara. Natamani wakae pamoja na Mkuu wa Mkoa wa DSM watengeneze mkakati maalumu wa madereva wetu wanaosafirisha mizigo.

Museven anatupenda Sana.

Ole Mushi
0712702602.
 
Sio tu kwamba wataacha bali hata watanzania wanaosafiri kibiashara kwenye EAC watapata misukosuko baada ya corona.
 
Aliyesema Chadema ni Corona hakukosea

Sent using Jamii Forums mobile app

Na kweli hakukosea! Maana tangu ilipoanza kupukutisha vigogo, naona vigogo wa ccm wamekuwa ndiyo walengwa wakubwa. Hakika Chadema ni Corona!

Yaani hata aliyetoa kauli mwenyewe mpaka sasa naye hajulikani alipo! Ofisi za Lumumba zimejaa bui bui! Wenye ofisi wote wameikimbia Chadema a.k.a Corona!!
 
Ukiwaangalia Marais Museveni, Kenyatta na Kagame walivyo busy Kupambana na COVID-19 hili la Bandari linawezekana mno.
 
Hii nchi yetu ni ya asali na maziwa hawawez kutumia bandar ya Kenya awe Uganda au Rwanda vitu vingekua simple Kama mnavyo zan DUNIA isinge endelea kumlamba miguu China kwa sababu ya bidhaa zake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chadema na bavicha mna Shida gani? Yaani huu Uzi sijui wa ngapi kwa siku ya Leo kama vile unaombea mabaya kwa nchi yetu
 
Kwa Africa mashariki Hakuna wa kuikwepa Tanzania

Wakileta shida tunawagombanisha baadae waje Arusha tuwapatanishe

Mtampatanisha nani, huyo Mkapa sio ndio walimgomea wazi wazi upatanishi wa Burundi? Hizo nchi walikuwa na imani kwa mbali kabla ya Magufuli kuingia madarakani. Lakini toka wameona chaguzi za nchi hii zikinajisiwa peupe, sasa hivi wao ndio wanajiandaa kutupatanisha.
 
Back
Top Bottom