Kuna utofauti mkubwa kati ya kiongozi na mwanasiasa.

hazole1

JF-Expert Member
Jan 3, 2015
4,319
3,916
kutokana uelewa wangu najua kiongozi ni yule mtu anayezungumza na kutenda kwa kuzingatia sheria na bila kuegemea upande wowote.

Lakini mwanasiasa ni mtu ambaye anapenda kuruka sana sarakasi muda wote. Hata kwenye maswala ya msingi. anaweza akaubadilisha uongo ukawa ukweli na ukweli ukawa uongo.

Juzi kati muheshimiwa makufuli alikemea sana maswala ya vyeti feki.
Na kwa bahati mbaya au nzuri. ikagundulika swahiba wake makonda ikaja kubainika kwamba shuleni alipata 000. Na hata jina analotumia sio la kwa kwake.

kwa mamuzi yote yote atayo yachukua ndio tutajua makufuli anasifa za kuitwa kiongozi au mwanasaisa.
 
Mimi kipofu huwa sioni maandishi
 
Nchi ambayo Rais ndiye mwenyekiti wa chama unategemea nini kama siyo kuwa na rais muongo muongo asiyetenda anachokizungumza?
 
kutokana uelewa wangu najua kiongozi ni yule mtu anayezungumza na kutenda kwa kuzingatia sheria na bila kuegemea upande wowote.

Lakini mwanasiasa ni mtu ambaye anapenda kuruka sana sarakasi muda wote. Hata kwenye maswala ya msingi. anaweza akaubadilisha uongo ukawa ukweli na ukweli ukawa uongo.

Juzi kati muheshimiwa makufuli alikemea sana maswala ya vyeti feki.
Na kwa bahati mbaya au nzuri. ikagundulika swahiba wake makonda ikaja kubainika kwamba shuleni alipata 000. Na hata jina analotumia sio la kwa kwake.

kwa mamuzi yote yote atayo yachukua ndio tutajua makufuli anasifa za kuitwa kiongozi au mwanasaisa.
A leader is the one who know the way,show the way and go the way
 
Back
Top Bottom