Kuna utaratibu wowote ulioandaliwa kupata matokeo ya kura Online? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuna utaratibu wowote ulioandaliwa kupata matokeo ya kura Online?

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by MwanaHaki, Oct 28, 2010.

 1. MwanaHaki

  MwanaHaki R I P

  #1
  Oct 28, 2010
  Joined: Oct 17, 2006
  Messages: 2,403
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 145
  Nauliza swali.

  Je, kuna utaratibu wowote ule ulioandaliwa kupata matokeo ya upigaji kura, kadri kila kituo kitakavyokuwa kinatoa taarifa zake, kwenye Internet, ili kuwe na uhakiki na ulinzi mzuri zaidi wa matokeo hayo?

  Ninasema hivi kwa kuwa, matokeo yakishatangazwa kwenye kituo, uchakachuaji usifanyike tena popote pale. Je, tumejipanga?

  Wanaweza hata kubandika matokeo kwenye kuta za vituo, yakiwa na signature za mawakala wote na wasimamizi wa vituo. Lakini, wanaweza tena kubadilisha kwa minajili kwamba makosa yalifanyika. Hawa watu wako makini, na sisi tuwe makini zaidi.

  Je, mpango huu ulifanyika? Ni rahisi hata kufungua special page, ndani ya JF, watu wakawa wanaripoti kutoka kituo hadi kituo. Mimi niko tayari kushughulikia VITUO VYOTE vya Jimbo la Kawe. VYOTE. Nitajitolea muda wangu. Naweza pia kuwa natuma data kwa njia ya SMS, kwa Mods, kisha wao waziweke online.

  Matokeo yanaweza kuwa kwa mfumo wa Thread pia. INAWEZEKANA! TENA NI RAHISI SANA!
   
 2. lm317

  lm317 JF-Expert Member

  #2
  Oct 28, 2010
  Joined: Nov 2, 2009
  Messages: 452
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kweli inawezekana tujipange tufanye hilo
   
 3. pcman

  pcman JF-Expert Member

  #3
  Oct 28, 2010
  Joined: Oct 9, 2008
  Messages: 743
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
Loading...