Kuna utaratibu unaotumika kulipa ada Chuo kwa tuliopata asilimia chache za mkopo?

Elie zer

Member
Sep 20, 2021
74
67
Hivi kuna utaratibu wowote unaotumika wakati wa ulipaji ada chuo kwa wale tuliopata asilimia chache za mkopo? Kwani huwa kuna deadline??!

Nawasilisha!!
 
Kwanza Uko Chuo gani?
Na je umejaribu kufatilia utaratibu wa Chuo husika kuhusu ulipwaji wa Ada n.k au umekimbilia Moja kwa moja Huku?
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom